Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Msanii na elimu wapi na wapi...msimvunje moyo kijana.....

Yeye akifika huko atwange hata Kiha...kitachomfanya ashinde ni mziki wake na kura zetu; hayo ya lugha sijuhi elimu tuwaachie wanaotafuta kazi UN....

Hao kina Davido wanaimba lugha hata hazieleweki, lakini mziki wao tunaupenda...

Na nachompendea huyu dogo ni confidence...hajali watu wanasema nini kuhusu level ya kimombo chake...na hicho ndo kinamfanya aendelee kuthubutu....

Acha kudandia treni kwa mbele....
Nan kaongelea kuhusu kimombo chake...

Tunaongelea kuhusu majina mawili yaan DIAMOND PLATNUMS....kama mdau alivoeleza ni madini mawili tofauti na kule kwenye muziki wenye hela duniani America ukisema Platnumz niauzo ya zaid ya copy milion 2...
Sasa alishwai kuuza wapi mauzo ya platnums???
Ama ulinunua wewe??

Elimu nayo inachangia nafikiri....ni.muda wa kujiendeleza sasa ili aweze kufanya mambo kiprofeshno zaidi.

Shaquile O'neal enzi zake alisainigi mkataba wenye hela zaidi enzi zake hela ambazo hata Diamond avae skirt kwnye tuzo za BET hatakuja kuzishika....dola Milioni 120.

Lakini baada ya kustaafu NBA alirudi shule kujiendeleza kielimu sasa hivi anaitwa Dr. Shaquile O'neal.

Lil Wayne anapiga hela lakini aliamua kurudi shule na kuji enroll University of Houston. Jiulize

Elimu ina faida yake hata kama unapiga hela ndefu. Inasaidia kua 'role model' mzuri kwa watoto kwani siku izi watoto wa kibongo hawataki shule tena wanataka mziki na bongo muvi huku wakisema "Mbona Diamond hajasoma lakini anapiga hela?? "
unaona ni sawa hivyo kwa watoto wetu??
Hataimba milele. Hata Gurumo alistop kuimba.

Sasa na wewe naona unakoment pumba tu.
Fanya hivi nenda kwa Kapuya ukachukue ada ujiendeleze kielimu.
 
Acheni mbwembwe km nyie wasomi wa kweli toeni darasa jinsi ya kupiga kura BET Awards...sio kupoteza muda kwa porojo:behindsofa:
 
dah!hata katika hili watu wanataka kuleta zengwe!eti asijiite diamond platinumz!duh!...kuna wabongo wasipokukubali hata ufanye nini watatafuta weakness.............kule hawahindanishi majina bandugu!huyu mtu anajua na ni muda wake huu
 
spendi huyu dogo ila nampa hongera sana cse anafanya kazi nzuri....big up
 
Watu ama wewe ndo una shauku??

watu hao yaani jamaa ana udambwi udambwi kibao mata kavua chupi mara kavaa sketi mara karusha njiwa,mara kamvalisha pete mtu ukumbini mara kavaa njiwa yaani full attention
 
watu hao yaani jamaa ana udambwi udambwi kibao mata kavua chupi mara kavaa sketi mara karusha njiwa,mara kamvalisha pete mtu ukumbini mara kavaa njiwa yaani full attention

Hayo mengine siyajui.
Ila mwanaume hawezi kuvaa skirt hata siku moja ama gauni ama pedo.

Mbona wasanii wenye heshima na hela duniani hawavaagi sketi??
Sishangai sana maana hao wanaojiita madesigner wa bongo wote ni mashoga kama martin kadinda ali remtula rio paul etc sasa kama designer shoga akimpa msanii sketi ama pedo avae usishangae
 
Tunavochukiwa na majirani zetu wakenya na rwanda--uganda, congo na burundi watatupigia

Diamond asikate tamaa, tumpigie kura tu.

Najua kuna majuha wa Tanzania watampigia Davido
 
Nigeria pekee wakipiga kura hata west na south wakiungana kupiga kura kwa kigezo cha ukanda na sio burudani basi south na East wasahau... Ndio maana big brother kura zinahesabiwa kwa nchi.. Wanigeria ni shidah, wako wengi sana na wanaumoja na wanapenda vya kwao hata vikiwa bibovu.

Hapo kura bora tu wenyewe mashabiki waamue kupiga kwa msanii anaye wa burudisha haijalishi anatoka upande gani. Maana west ina nguvu na wako wengi...

Na sisi tujifunze kupenda vya kwetu, Najua kuna mandezi watakao mpigia davido na mafikizolo kisa tunajidai tumeenda na wakati kwa kuwajua wa nje kuliko wa Tanzania
 
Kuna watu wanachuki zao hawawezi kumuunga mkono,wanatamani wangechaguliwa wao.

Wabongo ni wanafiki sana ndugu yangu, hatujielewi hata kidogo.

Tunajidai tunaenda na wakati kumbe ni ulimbukeni.

Kuna watu watampigia kura Davido na Mafikizolo
 
Diamond asikate tamaa, tumpigie kura tu.

Najua kuna majuha wa Tanzania watampigia Davido

Sidhani kama kuna Mtz atampigia Davido maana kwa hili Diamond katuunganisha Watz na kila mtu anawish ashinde..hata wasiompenda they are proud of him coz dude has put TZ on the map meen!
 
Acha kudandia treni kwa mbele....
Nan kaongelea kuhusu kimombo chake...

Tunaongelea kuhusu majina mawili yaan DIAMOND PLATNUMS....kama mdau alivoeleza ni madini mawili tofauti na kule kwenye muziki wenye hela duniani America ukisema Platnumz niauzo ya zaid ya copy milion 2...
Sasa alishwai kuuza wapi mauzo ya platnums???
Ama ulinunua wewe??

Elimu nayo inachangia nafikiri....ni.muda wa kujiendeleza sasa ili aweze kufanya mambo kiprofeshno zaidi.

Shaquile O'neal enzi zake alisainigi mkataba wenye hela zaidi enzi zake hela ambazo hata Diamond avae skirt kwnye tuzo za BET hatakuja kuzishika....dola Milioni 120.

Lakini baada ya kustaafu NBA alirudi shule kujiendeleza kielimu sasa hivi anaitwa Dr. Shaquile O'neal.

Lil Wayne anapiga hela lakini aliamua kurudi shule na kuji enroll University of Houston. Jiulize

Elimu ina faida yake hata kama unapiga hela ndefu. Inasaidia kua 'role model' mzuri kwa watoto kwani siku izi watoto wa kibongo hawataki shule tena wanataka mziki na bongo muvi huku wakisema "Mbona Diamond hajasoma lakini anapiga hela?? "
unaona ni sawa hivyo kwa watoto wetu??
Hataimba milele. Hata Gurumo alistop kuimba.

Sasa na wewe naona unakoment pumba tu.
Fanya hivi nenda kwa Kapuya ukachukue ada ujiendeleze kielimu.

Si bora hata jina lako Diamond Platnumz, kampuni inaitwa WCB yaani Wasafi Classic Baby!!! 😕😕
 
Back
Top Bottom