davido anafanya shoo amerika, wanaingia watu elfu 50! wakati huyo diamond wenu anafanya show za birthday uko ulaya!Shangaa Davido ana niniii
Kili wakasema karoga labda saiv kawaroga na wazungu
davido anafanya shoo amerika, wanaingia watu elfu 50! wakati huyo diamond wenu anafanya show za birthday uko ulaya!
Jamani wanapigaje kura tuanzee kumpigiaa Domo hili ni swala kitaifa mengine tunatupa kuleeee alaaaaa hapa ndio nampokubali Diamond wallah kina Chameleone tupa kuleeee
Mdogo wangu Kifesi,naomba ubadilike uache uswahili...ujitofautishe kidogo na timu inayomzunguka Diamond...maana comments zako ni kama vile wabongo wanamchukia sana diamond kitu ambacho sio kweli...ushaidi wa kwamba domo anapendwa na wananchi ni matokeo. ya kura za Kili awards au ukitaka kujiridhisha tembelea Facebook page ya Kola Awards utashangaa sana ni kiasi gani wabongo walivyo na love ya kweli kwa diamond...kumbuka wewe unaishi,unakula na kuvaa hapa mjini kupitia awa mashabiki wa diamond unaowaona wabaya sana,sio lazima kupita shule kuelewa kwamba diamond anapokosolewa sio kwa kuwa anachukiwa ni kwa kuwa anapendwa..mtu anaechukia hakosoi,anakusubiri uanguke akucheke.
huyo heaven on desert sijui yupo wapi? Wengine tuna mzuka wa kupiga kura, wawahi kabla haujakatika
davido anafanya shoo amerika, wanaingia watu elfu 50! wakati huyo diamond wenu anafanya show za birthday uko ulaya!
Huyo heaven on desert sijui yupo wapi? Wengine tuna mzuka wa kupiga kura, wawahi kabla haujakatika
davido anafanya shoo amerika, wanaingia watu elfu 50! wakati huyo diamond wenu anafanya show za birthday uko ulaya!
hater at work.....duh...bongo nchi ngumu sana!!!!!!!!!!!MTV na BET si mchezo ukipata sijui labda uuze mjengo wako wa 250m uwanunulie vocha na bundle watu wa-vote kama haujafanya hivo imekula kwako.
kwani Davido ananini cha kumzid Diamond apart from kuzaliwa Nigeria?I am telling u,mziki wa Diamond ni mkubwa kuliko wa Davido,labda ungesema Mafikizolo ningekuelewa,na hao ndo threat kubwa
tandale to los angeles....ngoja akawachezeshe ngololo huko kina snoopy,dre,jigga etcHahaha started from Tandale now Newyork...
Tuna piga vipi kura?
Mwaka huu haters mtameza chupa...Wadau tusubili muda wa kupiga kura ufike kwasasa naona bado ata ukitembelea web yao BET Awards | Shows | BET bado hakuna maelekezo yoyote Daimondplatnumz forever Tz oyee