Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Kili wakasema karoga labda saiv kawaroga na wazungu

Mdogo wangu Kifesi,naomba ubadilike uache uswahili...ujitofautishe kidogo na timu inayomzunguka Diamond...maana comments zako ni kama vile wabongo wanamchukia sana diamond kitu ambacho sio kweli...ushaidi wa kwamba domo anapendwa na wananchi ni matokeo. ya kura za Kili awards au ukitaka kujiridhisha tembelea Facebook page ya Kola Awards utashangaa sana ni kiasi gani wabongo walivyo na love ya kweli kwa diamond...kumbuka wewe unaishi,unakula na kuvaa hapa mjini kupitia awa mashabiki wa diamond unaowaona wabaya sana,sio lazima kupita shule kuelewa kwamba diamond anapokosolewa sio kwa kuwa anachukiwa ni kwa kuwa anapendwa..mtu anaechukia hakosoi,anakusubiri uanguke akucheke.
 
Huyu dogo ni mkali na sasa ameitangaza Tanzania,tuungane kumpigia kura.
 
Jamani wanapigaje kura tuanzee kumpigiaa Domo hili ni swala kitaifa mengine tunatupa kuleeee alaaaaa hapa ndio nampokubali Diamond wallah kina Chameleone tupa kuleeee

Huyo heaven on desert sijui yupo wapi? Wengine tuna mzuka wa kupiga kura, wawahi kabla haujakatika
 
Mdogo wangu Kifesi,naomba ubadilike uache uswahili...ujitofautishe kidogo na timu inayomzunguka Diamond...maana comments zako ni kama vile wabongo wanamchukia sana diamond kitu ambacho sio kweli...ushaidi wa kwamba domo anapendwa na wananchi ni matokeo. ya kura za Kili awards au ukitaka kujiridhisha tembelea Facebook page ya Kola Awards utashangaa sana ni kiasi gani wabongo walivyo na love ya kweli kwa diamond...kumbuka wewe unaishi,unakula na kuvaa hapa mjini kupitia awa mashabiki wa diamond unaowaona wabaya sana,sio lazima kupita shule kuelewa kwamba diamond anapokosolewa sio kwa kuwa anachukiwa ni kwa kuwa anapendwa..mtu anaechukia hakosoi,anakusubiri uanguke akucheke.

Huyu mtu tulishampa ushauri lakini anao nekana ana kichwa kigumu sana kama mimi.
 
huyo heaven on desert sijui yupo wapi? Wengine tuna mzuka wa kupiga kura, wawahi kabla haujakatika

na alitakiwa aoneshe pale juu labda muda wa kuanza kupiga kura bado
 
Huyo heaven on desert sijui yupo wapi? Wengine tuna mzuka wa kupiga kura, wawahi kabla haujakatika

Atuelekeze tupige sieeee mtanzania mwenzetu hapa tunatakiwa tuwe wamojaaaa
 
MTV na BET si mchezo ukipata sijui labda uuze mjengo wako wa 250m uwanunulie vocha na bundle watu wa-vote kama haujafanya hivo imekula kwako.
hater at work.....duh...bongo nchi ngumu sana!!!!!!!!!!!
 
kwani Davido ananini cha kumzid Diamond apart from kuzaliwa Nigeria?I am telling u,mziki wa Diamond ni mkubwa kuliko wa Davido,labda ungesema Mafikizolo ningekuelewa,na hao ndo threat kubwa

Mie uwa nashangaa hii tabia ya kushobokea wanaija tumeitoa wapi..sisi wabongo mbona wajanja sana tu kwa nini hatujiamini lakini??...mziki wa naijeria ni wakawaida sana sema jamaa wanajua marketing tu ya cha kwao...ila ukikaa ukitulia hukiacha upepo wa media hautaona kitu special toka kwao
 
Back
Top Bottom