Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simpatii picha mama ubaya atakavyojishaua red carpet ya BET na akina Beyonce , mwaka huu ma haters tutajibebaa
heaven on desert MFIKISHIE UJUMBE DIAMOND MWAMBIE Tyta KAMPA HONGERA
Diamond kaingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo kubwa duniani za BET.
KATIKA CATEGORY YA BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA
AKICHUANA NA
DAVIDO
MAFIKIZOLO
TIWA SAVAGE
SARKODIE
TOOFAN.
Maelezo zaidi nitaendelea kuwapatia.
Hongera my boss,hongera my wcb president.
bet ni wazungu? kama hujui kitu bora kukausha tu, alafu izo ishu za maushirikina achana nazo kwani ni za watu wenye ubongo duniKili wakasema karoga labda saiv kawaroga na wazungu
Safari hii atavaa deraaa
Yawezekana ameshaanza kuandaa sipichi..
Kili wakasema karoga labda saiv kawaroga na wazungu
bet ni wazungu? kama hujui kitu bora kukausha tu, alafu izo ishu za maushirikina achana nazo kwani ni za watu wenye ubongo duni
bet ni wazungu? Kama hujui kitu bora kukausha tu, alafu izo ishu za maushirikina achana nazo kwani ni za watu wenye ubongo duni
Simpatii picha mama ubaya atakavyojishaua red carpet ya BET na akina Beyonce , mwaka huu ma haters tutajibebaa
kuwa Nomenees inatosha kuonyesha kazi yake imekubalika...Hongera Platnumz hongera Tz