Diamond achaguliwa kwenye "we are the world "Africa


Hawa sikio la kufa unadhan wanaelewa bas! Acha tu waendelee kupiga mayowe, thy r not worth it!!!
 
I don't like diamond personally sijui kwa nini (ila itakuwa ni wivu tuu kwa kumchukua mtt wema wakato nikiwa ktk process za kummiliki), ila katika simu yangu ina nyimbo 36 kati ya hizo za diamond ziko 4, Ali kiba 2, Weusi 2, barnaba 2 zilizobaki zote pop
za mbele
 
Wapi naweza kufuatilia hizo awards au washamaliza? ?
 
Huwa naskia ati watasbr sana wanaotaka kubebwa na media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…