Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Leo wanasherekea besidei
Kaifanyia wapii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wanasherekea besidei
Majirani mtaa wa pili mpo.......?????
Ukishatumia muda wako kumchukia mwenzio na kumjengea majungu wakti anaendela na mafanikio ni kupoteza muda wako.......ndicho walichokosea mtaa wa pili!.....inaniuma kwa mwanamuziki nzuri kama alikiba aonekane kama mwanamuziki wa fiesta tu! Mimi nawapenda wote lkn yule mwenye juhudi niyo atakula embe lilioiva! Kujaza uwanja wa iringa peke yako si mchezo! Mwacheni dai ana juhudi katika kazi! Ushahuri kwa alikiba hao wanaokuzunguka wanakupotosha kuhusu mabeeF, show love utaona mambo Yanavyoenda,
Yuko mtaa wa pili wanamuandalia tisheti auze apate pesa ya kutolea video ya mwana