Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

Ni ngumu sanaaa...Ngumu mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani wana huwa wanasusa jumla maana ukimuita aje kuchukua hela ulee nyampu anabanaa... alafu kuna mwana anamlaa fresh tu aisee inauma sana.. Hapo ndo huwa unapotezea jumlaa ukiona Jamaa anatoa pesa jua habaniwii mchongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha dah hii comment kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's very sad kuona watu wanajadili kitu ambacho hakijadhibitishwa pande zote mbili, sababu tu ya comment moja mtu kafungua uzi na watu wanatitirika kwa shutuma nzito nzito hahaha hiki ndicho Zari anakitaka na Diamond tangu kaachana nae hajawahi kumzungumzia nahisi ndio inamkera zaidi maana kurudi kwake harudi na attention hampi.

Watanzania wenzangu tujikite katika mambo ya msingi familia hizi zina mengi.
Zari alikwambia anataka kurudiana na diamond? Tatizo sio kurudiana tatizo ku bond na watoto wako. Kwa mtoto ni muhimu .inachoshangaza alichofanyiwa yeye na babaake na yeye analipizia kwa watoto wake. Kuwa close na watoto sio lazima mrudiane. Unawapa priority watoto wako
 
Je ni wapi Zari kasema Mond hana ukaribu na watoto wake? kusema kua analea watoto wake mwenyewe ndio imekua noma sasa alitaka aishi na Mond? au hasa tunajadili nini hapa.
 
Mada zote zinazojadiliwaga humu zinakuaga na upande wa pili wa story? Swali alilo ulizwa na shabiki umeliona? Zari kareply kama mtu mwingine anavyoweza reply kwenye posts zake vile akiulizwa kitu wewe ndio unafikiria kua anatafuta attention wakati she is living her life. Diamond hana chochote cha kuongea ndio maana kaufyata mbona wengine anawaongeleaga vibaya

Hata sielewi unajadili nini, kwahiyo kutaka kusikia story ya upande wa pili ni kosa?? unataka tujadili comment okay ngoja tujadili,

Unaelewa nini maana ya "ku live my/her/his life?"

Basi Mond ndie anaishi maisha yake sababu tangu aachane nae hajamuongelea lakini yeye mara vikima mara nalea mwenyewe hebu muulizeni huyo boss wenu exactly anataka nini,
Child support au ndoa??

lol.
 
Ungeona alicho ulizwa na shabiki usingesema hivyo. Zari hataki chochote ndio maana akamjibu shabiki as per swali. Unafikiri hiyo comment imetokea hewani.
 
Ungeona alicho ulizwa na shabiki usingesema hivyo. Zari hataki chochote ndio maana akamjibu shabiki as per swali. Unafikiri hiyo comment imetokea hewani.
Nimejadili kulingana na screen shot iliyoletwa hapa sasa kama kuna yalipotokea basi mleta mada alipaswa alete habari kamili,
na ndio yale yale ya story ya upande mmoja,

Poleni lakini.
 
the_originaleast-1550929533550.jpg

the_originaleast-1550929546959.jpg

Mpo?
Tungeni lolote ila msilie tu wenyewe mlipo.

Bado ana mapenzi tele kwa DP.

Awe mpole tu pengine anaweza kurudi
 
Nimejadili kulingana na screen shot iliyoletwa hapa sasa kama kuna yalipotokea basi mleta mada alipaswa alete habari kamili,
na ndio yale yale ya story ya upande mmoja,

Poleni lakini.
Pole ya nini.
 
Yaaani kama umeongea yaliyo akili I mwangh. Huwa anajitapa anapesa mafanikio waliyonayo wako kimya yeye labda a aki akitangaza chuo cha marehemu mume wake
This woman has issues, heko kwa Mond aliliona hilo mapema na kujitoa kabla hajachelewa.
 
Still looking for Mrs BAK, believe me it is true. Namjua huyu binti nilijaribu sana kumuomba amsamehe bila mafanikio. Hata kwenye picha zake unaona uchangamfu wake umepungua. Kuvunjika kwa penzi moto moto kama la hawa huchukua muda wahusika kurudi sawa.

As if what you were saying is true.

Nitamsalima na wewe msalimie Mrs BAK
 
Back
Top Bottom