Hahhahaha dah hii comment kibokoNi ngumu sanaaa...Ngumu mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani wana huwa wanasusa jumla maana ukimuita aje kuchukua hela ulee nyampu anabanaa... alafu kuna mwana anamlaa fresh tu aisee inauma sana.. Hapo ndo huwa unapotezea jumlaa ukiona Jamaa anatoa pesa jua habaniwii mchongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzangu ht mm nimejiuliza hilo swali, bora ht ww umekuja kulitoa 😛 😛 😛Bwahahaha ushawahi kakaa na zari wapi huko?
Kuwa social media sio dhambi kika mtu na uhuru wake.
Zari anaumiza wengi sana daah pole
Sasa wamshobokee kwa lipi jmn ili hali walishaachana. Hlf mbona mobetto alimshobokea sana hd tunguli zikambamba 😀 😀Shida mama zao wanajikuta hawamshobokei Domo sasa hio inamkeraa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro huyo mwanamke wala asikuumize kichwa ni attention seeker.
Zari alikwambia anataka kurudiana na diamond? Tatizo sio kurudiana tatizo ku bond na watoto wako. Kwa mtoto ni muhimu .inachoshangaza alichofanyiwa yeye na babaake na yeye analipizia kwa watoto wake. Kuwa close na watoto sio lazima mrudiane. Unawapa priority watoto wakoIt's very sad kuona watu wanajadili kitu ambacho hakijadhibitishwa pande zote mbili, sababu tu ya comment moja mtu kafungua uzi na watu wanatitirika kwa shutuma nzito nzito hahaha hiki ndicho Zari anakitaka na Diamond tangu kaachana nae hajawahi kumzungumzia nahisi ndio inamkera zaidi maana kurudi kwake harudi na attention hampi.
Watanzania wenzangu tujikite katika mambo ya msingi familia hizi zina mengi.
Je ni wapi Zari kasema Mond hana ukaribu na watoto wake? kusema kua analea watoto wake mwenyewe ndio imekua noma sasa alitaka aishi na Mond? au hasa tunajadili nini hapa.Zari alikwambia anataka kurudiana na diamond? Tatizo sio kurudiana tatizo ku bond na watoto wako. Kwa mtoto ni muhimu .inachoshangaza alichofanyiwa yeye na babaake na yeye analipizia kwa watoto wake. Kuwa close na watoto sio lazima mrudiane. Unawapa priority watoto wako
Awe mpole tu pengine anaweza kurudiBado ana mapenzi tele kwa DP.
Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyewe
Jr[emoji769]
Mada zote zinazojadiliwaga humu zinakuaga na upande wa pili wa story? Swali alilo ulizwa na shabiki umeliona? Zari kareply kama mtu mwingine anavyoweza reply kwenye posts zake vile akiulizwa kitu wewe ndio unafikiria kua anatafuta attention wakati she is living her life. Diamond hana chochote cha kuongea ndio maana kaufyata mbona wengine anawaongeleaga vibaya
Ungeona alicho ulizwa na shabiki usingesema hivyo. Zari hataki chochote ndio maana akamjibu shabiki as per swali. Unafikiri hiyo comment imetokea hewani.Hata sielewi unajadili nini, kwahiyo kutaka kusikia story ya upande wa pili ni kosa?? unataka tujadili comment okay ngoja tujadili,
Unaelewa nini maana ya "ku live my/her/his life?"
Basi Mond ndie anaishi maisha yake sababu tangu aachane nae hajamuongelea lakini yeye mara vikima mara nalea mwenyewe hebu muulizeni huyo boss wenu exactly anataka nini,
Child support au ndoa??
lol.
Nimejadili kulingana na screen shot iliyoletwa hapa sasa kama kuna yalipotokea basi mleta mada alipaswa alete habari kamili,Ungeona alicho ulizwa na shabiki usingesema hivyo. Zari hataki chochote ndio maana akamjibu shabiki as per swali. Unafikiri hiyo comment imetokea hewani.
Bado ana mapenzi tele kwa DP.
Awe mpole tu pengine anaweza kurudi
Pole ya nini.Nimejadili kulingana na screen shot iliyoletwa hapa sasa kama kuna yalipotokea basi mleta mada alipaswa alete habari kamili,
na ndio yale yale ya story ya upande mmoja,
Poleni lakini.
As ifBado ana mapenzi tele kwa DP.
This woman has issues, heko kwa Mond aliliona hilo mapema na kujitoa kabla hajachelewa.Yaaani kama umeongea yaliyo akili I mwangh. Huwa anajitapa anapesa mafanikio waliyonayo wako kimya yeye labda a aki akitangaza chuo cha marehemu mume wake
Sasa Mond ame move on na yeye ameamua ku move on basi yatosha, hatutaki kuona anatafuta huruma za wananchi.
As if what you were saying is true.Be more specific Mrs Van msalimie sana Mr Van.
As if what you were saying is true.
Nitamsalima na wewe msalimie Mrs BAK