Aliyepunguza uchangamfu ni DP that's obvious atleast saiv ana new girl ndio kidogo amekua msafi. [emoji23][emoji23][emoji23] alikua mchafuuu hata nuru ilipotea.Still looking for Mrs BAK, believe me it is true. Namjua huyu binti nilijaribu sana kumuomba amsamehe bila mafanikio. Hata kwenye picha zake unaona uchangamfu wake umepungua. Kuvunjika kwa penzi moto moto kama la hawa huchukua muda wahusika kurudi sawa.
Aliyepunguza uchangamfu ni DP that's obvious atleast saiv ana new girl ndio kidogo amekua msafi. [emoji23][emoji23][emoji23] alikua mchafuuu hata nuru ilipotea.
Unakosaje wifi jameni.
Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyewe
Jr[emoji769]
Aliyepunguza uchangamfu ni DP that's obvious atleast saiv ana new girl ndio kidogo amekua msafi. [emoji23][emoji23][emoji23] alikua mchafuuu hata nuru ilipotea.
Unakosaje wifi jameni.
Mwenzangu ht mm nimejiuliza hilo swali, bora ht ww umekuja kulitoa 😛 😛 😛
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye tu historia kama ya baba ake isijirudie.Sikupenda waachane especially after creating 2 beautiful kids ila DP alizidi kuto@ba to$$ba hovyo tena bila kificho wala kuvaa ndom.
Afanye tu historia kama ya baba ake isijirudie.
Pesa sio kila kitu. Angekua anajigawa kila baada ya mwezi anaenda kumuona wa hamisa then anaenda bondeni. Yeye si tajiri hawez kosa nauli.Itakuwa ni makosa makubwa sana. Uwezo wa kuwatumia watoto hata $5,000 kwa mwezi anao sana tu.
Pesa sio kila kitu. Angekua anajigawa kila baada ya mwezi anaenda kumuona wa hamisa then anaenda bondeni. Yeye si tajiri hawez kosa nauli.
Watoto wadogo kutambulishwa baba mwingine ni rahis sana na wao kuadapt kwa baba mpya
Ndio hivyo ajitathimini. Karma has no menu.Ni kweli kabisa pesa pekee yake haitoshi inabidi aweze kuwa nao kila mara ili kujenga bond na wanawe wamfahamu kama Baba yao na si kumuona kwenye mitandao, TV na utube tu vinginevyo nao wanaweza kumsusa kama anavyomsusa dingi wake.
Sasa Mond ame move on na yeye ameamua ku move on basi yatosha, hatutaki kuona anatafuta huruma za wananchi.
Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyewe
Jr[emoji769]
Uko sahihi kabisa aiseee watu humu hawaelewi kipindi Cha makuzi hasi chini ya miaka 7 mtoto Kama anakaa muda mrefu Bila kumuona baba Ni rahisi kupandikizwa chuki maana watoto huwa wanauliza Sana maswali mama namtaka baba? Mama baba Yuko wapi? Mama baba mbana haji shule siku ya wazazi na majibu ya kina mama ndo mtoto anaanza kumchukia baba mtoto hawezi uliza masuala ya pesa.Write your reply...watu wanadhani malezi ya mtoto ni pesa tuu. mtoto wa miaka sita sijui mitano anajuaje kama baba katuma pesa??
cha msingi ni uwepo wako kwa wanao ili kuondoa sumu ambayo mama atampandikiza mtoto. sababu uwepo wako ni malezi tosha mfano kumpeleka mtoto shuleni na kumrudisha, kucheza nae na mengine mengi yatamfanya mtoto akukumbuke milele na kukupenda hata kama umeachana na mama yake. kuliko kutuma tuu pesa halafu mtoto anakaa na mama tuu wakati wenzake anawaona wanacheza na Baba zao unafikiri nini kitatokea kwenye akili ya huyo mtoto? kama sio kuharibika kisaikolojia na kumchukia baba??
Ile laana ya babaHii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je kweli diamond platnumz pamoja na kusemekana ndio msanii tajiri zaidi Tanzania kweli kashindwa kuwapa malezi watoto wake?
Diamond amekuwa akiandamwa kwenye mitandao kufuatia sakata la baba yake
View attachment 1029860View attachment 1029861
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio laana Karma kaanza kazi...
Ka nani hako kapuuzi flan hivi?🙂Ka puuzi flan hivi. Wivu unakasumbua.