Diamond adhibitiwe anapotoa nyimbo zisizo na maadili, tukilinde kizazi chetu

Diamond adhibitiwe anapotoa nyimbo zisizo na maadili, tukilinde kizazi chetu

Hao watamzuia Ney akiimba Mboga Mboga ila Huyu Simba wa Pididi akiwa anaeneza ajenda chafu wanajitia macho yamejawa tindikali Masikio wameng'oa.
 
acha wivu na unafiki, kabla hata hajaanza kuimba, jamii ilishaharibikiwa tayari. tusimlaumu kijana mwenzetu, anajituma sana na kashatusua ndio maana unamchukia. kwani ni yeye tu anaimba maudhui mabaya? wengine huwaoni? acha usnich jamaa, km umeshindwa kulea kizazi chako ktk maadili shauri yako mwenyewe.
 
Jamii yenyewe nayo ishakuwa ya hovyo tu.Juzi nimekuta jirani Mama ameandaa besdeyi ya Mtoto wa mwaka mmoja,Watoto kibao sherehe ikafunguliwa kwa sala ndefu sana kwa karibia dkt kumi.Nikajisemea nikikutana na huyu Mama nitamuuliza kama alijiridhisha kuwa Waalikwa wote pale ni wa imani moja,jambo ambalo nina uhakika sivyo.Yote tisa pamoja na sala ndefu hiyo huo wimbo mchafu ndio uliotawala pale.Ilinikatisha tamaa sana,mbaya zaidi Watoto ambao ndio walikuwa asilimia 90 ya Wageni wanashangilia na kufuatisha maneno huku sauti za Mama zao nazo zikiwasindikiza.Nilisikitika sana.Kuna nyimbo kiukweli lazima zielekezwe kwa wakubwa tu kutokana na maudhui yake machafu.
 
Jamii ishaharibikiwa
Sahv mashoga wanafanya matamasha yao live
Kule nako mabinti ni mwendo wa kukuna nazi,vurugu tupu
Poleni wenye watoto vibinti vdg vinVyochipukia

Ova
 
Jamii ishaharibikiwa
Sahv mashoga wanafanya matamasha yao live
Kule nako mabinti ni mwendo wa kukuna nazi,vurugu tupu
Poleni wenye watoto vibinti vdg vinVyochipukia

Ova
Acha wakulane maana wenye nchi wanataka hivyo
 
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na Serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila..

Anaimba mambo yasio na maadali na kuhamasisha mapenzi kingume na maumbile wazi wazi.

Diamond ni mfano mbaya wa kuigwa kwa jamii, huu wimbo wake mpya unaonikumbusha mauthui ya rafiki yake Zuchu hadi akafungiwa Zanzibar.

View attachment 3311024
Maadili ya Nani? Wewe ndo mpima maadili ya taifa? Unashindwa kutetea maadili dhidi ya CCM wanaoiba kura na kuwafundisha kizazi cha leo kwamba bila wizi na uchawa huwezi pata uongozi….unahangaika na Diamond?
 
mbona ukali mwingi sana? au nawe ni upide?
 
Kua mpole

Back
Top Bottom