heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
am official diamond's blogger&I.T ...WASAFI ENTERTAINMENT
Kazi kweli! mtu mwenyewe hata kuandika maelezo kwa ufasaha huwezi!!! Unaandika maelezo yaliyokaa kihuni kihuni tu! Wewe upo huko kilolongenwi na kisimu cha mchina unafanya kazi ya kusifia mwanaume mwenzio 24/7 pengine hata hakujui!
Kam a Diamond anaweza kutuma mtu wa aina yako kumuwakilisha hapa JF pengine haijui vizuri JF!!
am official diamond's blogger&I.T ...WASAFI ENTERTAINMENT
mhh! nyingine coz naona unampambano mkali tuletee mpaka na hatua anazopiga me naona wanaotaka zaidi habari zake watazipata site au mmeingia ubia na jf coz i can see hii issue si ya kitoto mwana!ameenda jion ya leo nchin afrika kusin kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado....
KWA FANS WA KWEL WA DIAMOND JUS WAIT KWA KAZ NZURI INAYOPIKWA KUANZ
IA KESHO N HATERS MNAOTAKA JAMAA ADROP..KEEP WAITN.....
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.
dah wewe jamaa ivi waga unamatatizo gan? Embu angalia the way unavyoandika izo spelling ni very poor sana! Kwaio wewe kweli ni official diamond blogger? Ha ha ha kwaio ulijua utatutisher?
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.