Diamond aenda nchin S.A kushoot video mpya

Diamond aenda nchin S.A kushoot video mpya

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ameenda jioni ya leo nchini afrika kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado.

KWA FANS WA KWELI WA DIAMOND JUST WAIT KWA KAZI NZURI INAYOPIKWA KUANZIA KESHO NA HATERS MNAOTAKA JAMAA ADROP..KEEP WAITN.
 
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.
 
ndo hiy collab na sean paul, halafu mnalipwa nyie maana nami natafuta ajira
 
am official diamond's blogger&I.T ...WASAFI ENTERTAINMENT

Kazi kweli! mtu mwenyewe hata kuandika maelezo kwa ufasaha huwezi!!! Unaandika maelezo yaliyokaa kihuni kihuni tu! Wewe upo huko kilolongenwi na kisimu cha mchina unafanya kazi ya kusifia mwanaume mwenzio 24/7 pengine hata hakujui!

Kama Diamond anaweza kutuma mtu wa aina yako kumuwakilisha hapa JF pengine haijui vizuri JF!!
 
Kazi kweli! mtu mwenyewe hata kuandika maelezo kwa ufasaha huwezi!!! Unaandika maelezo yaliyokaa kihuni kihuni tu! Wewe upo huko kilolongenwi na kisimu cha mchina unafanya kazi ya kusifia mwanaume mwenzio 24/7 pengine hata hakujui!

Kam a Diamond anaweza kutuma mtu wa aina yako kumuwakilisha hapa JF pengine haijui vizuri JF!!

pole coz hujui unachokiongea
 
dah wewe jamaa ivi waga unamatatizo gan? Embu angalia the way unavyoandika izo spelling ni very poor sana! Kwaio wewe kweli ni official diamond blogger? Ha ha ha kwaio ulijua utatutisher?
 
ameenda jion ya leo nchin afrika kusin kushoot video ya wimbo wake mpya ambao haujatoka bado....
KWA FANS WA KWEL WA DIAMOND JUS WAIT KWA KAZ NZURI INAYOPIKWA KUANZ
IA KESHO N HATERS MNAOTAKA JAMAA ADROP..KEEP WAITN.....
mhh! nyingine coz naona unampambano mkali tuletee mpaka na hatua anazopiga me naona wanaotaka zaidi habari zake watazipata site au mmeingia ubia na jf coz i can see hii issue si ya kitoto mwana!
 
Ahsante kwa updates!!!!
tunaisubiri video kwa hamu.....
snowhite kuna good nyuzi hapa.
 
Last edited by a moderator:
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.

learn how to appreciate ones nice job.dimond has been doing nice and great jobs while waiving tz flag outside the country.dont be too much jelous when others succed.
 
dah wewe jamaa ivi waga unamatatizo gan? Embu angalia the way unavyoandika izo spelling ni very poor sana! Kwaio wewe kweli ni official diamond blogger? Ha ha ha kwaio ulijua utatutisher?

VERY POOR SANA<<<si bora utumie lugha moja tu kuliko kutuchanganyia mlenda,mtindi,kachumbali kwenye wali>>>
 
amepeleka mzigo kwani nani ajui kua domo ni mbeba sembe mzuri tu bon voyage domo.

dah!ww una tabia za kiliberal coz mwnzako akifany development ww unaponda 2 badilika ucwe zombie
 
Mhh..kweli diamonds platinums?au umebeba sembe?kwa sababu ishaanza kubuma kuwa wewe ni mbeba sembe mzuri tu-sina uhakika lakini hadi ukamatwe ndo tuamini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani hata akikamatwa na hilo sembe si watasema tumchangie ili atoke
 
Diamond usiache kubeba kilo200 ya chakula cha chatu make saivi hamna aibu kabisa kubeba ugali wetu kupeleka kwa madida
 
Back
Top Bottom