Diamond aendelea kuwaburuza kwa kura wasanii wa Afrika Tuzo za BET

Diamond aendelea kuwaburuza kwa kura wasanii wa Afrika Tuzo za BET

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1400522511.898735.jpg
Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz amekuwa akiongoza katika upigari kura wa kuwania tuzo za Muziki wa Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika kipengele cha Best International Act: Africa.

Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29.

Mpaka jioni hii Diamond alikuwa anaongoza kwa asilimia 75.79.ImageUploadedByJamiiForums1400522568.389417.jpgtazama hapa anavyo wakimbiza
Source BBC

Jamani kwenye tuzo za BET na tuzo nyingine za America hua mshindi hatafuti kwa kupigiwa kura na fans. Wao huwa wanautaratibu wa kuchagua baraza la watu 500 ambao hawa watu ndo wanapiga kura kwa kuchagua mshindi. Na kwa taarifa zilizopo ni kwamba Vanessa Mdee ni mmoja wa member kwenye hiyo kamati ambapo yeye anaiwakilisha Tanzania.

Hiyo link watu wanayopigia kura ni link ya mojawapo ya kituo cha radio kilichopo US amabcho hufanya hivo kuona watu wanamchagua nani na kamati imefanyaje maamuzi. Kura zinazopigwa kupitia hiyo link haziwezi saidia chochote kwenye kumpatia Diamond ushindi wa zile tuzo kama kamati haitampa kura.

BET wana-category huwa inadhaminiwa na Coca cola ambayo huitwa COCA COLA PEOPLE'S CHOICE AWARD ambayo kwa miaka kama mitatu mfululizo tuzo inachukuliwa na Chris Brown na hii ndo category pekee inayoruhusu watu kupiga kura, na pia hii sio category ambayo Our Beloved Son Diamond yupo.

So, najua tunatamani sana kumpigia kura Diamond ashinde but kwa wakati huu kura yetu haiweze kuleta effect yeyote, cha zaidi ni kuingia kwenye maombi mazito ili ile kamati ya watu 500 iweze kumwona Diamond-Platnumz na kumpatia ushind huu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Diamond-Platnumz
 
hivi jaman ina maana hao wengine hawapigiwi kura au wanatulia taiming tu icije ikawa wanasubiri mwishon ndo waanze kuwapigia kura watu wao mi sielewi
 
Nimepatwa na butwaa sana! Ina maana wasauzi hawapigi kura? Aafu tusije tukawa rumempigia kura domo aafu akaenda na vimini US
 
hivi jaman ina maana hao wengine hawapigiwi kura au wanatulia taiming tu icije ikawa wanasubiri mwishon ndo waanze kuwapigia kura watu wao mi sielewi

Hahaha unajua mtu mwenye akili timamu yoyote lazma ashangae hizi habari na huo mtandao wanaompigia kura diamond na wenzake, imaana wanaigeria sisi tunaingia kwao mara mbili sjui wao ni wengi kuliko sisi watanzania wameshindwa kumpigia Davido kura toka juzi naona ana %7 tu hahahaha #kanyaboya
 
Nimepatwa na butwaa sana! Ina maana wasauzi hawapigi kura? Aafu tusije tukawa rumempigia kura domo aafu akaenda na vimini US

Ha ha ha mini zake daaa hat kama ni fasheni Hapana

Hii timing wanatufanyia hawa tukijisahau tuu ndo bhasi
 
hivi jaman ina maana hao wengine hawapigiwi kura au wanatulia taiming tu icije ikawa wanasubiri mwishon ndo waanze kuwapigia kura watu wao mi sielewi

Hata mimi nashindwa kuelewa jambo hapa...shughuli yenyewe ni tarehe 29 juni, sasa hizo kura deadline yake ni lini ?
 
utapeli mtupu, hivi kama diamond yupo group moja na psquire na psquire wasipigiwe kura hata moja kwahiyo diamond atatangazwa kuwa mshindi?
 
Guys msiewe taken na hizo results siyo official BET blog hiyo i heard hiyo blog ya hizo results mnazoziona ts nat related wit BET na vigezo wanavoangalia siyo kura tuu wanaangalia show zakimataifa msanii alizo piga, demand ya ngoma alizopiga, kujulilana kwake across africa, Hits kwenye social netwrks etc but all in all best of lucks Chibu Dangote!
 
Watu wameingia mkenge,hiyo link haihusiani kabisa,ya BET inaanza kufunguliwa tar 25 mwezi huu kama sikosei ndo watu wataanza kupiga kura,hiyo ni ya kituo cha redio tu haina uhusiano na BET wala hawahesabu hizo kura,we unadhani atawakimbiza hao kama unavyodhani kwa gap kubwa??Tanzania huwezi kuifananisha na nigeria na South africa kwa internet access we subiri uone official BET page ikifunguliwa utaona atakavyokuwa wa mwisho
 
utapeli mtupu, hivi kama diamond yupo group moja na psquire na psquire wasipigiwe kura hata moja kwahiyo diamond atatangazwa kuwa mshindi?

we dogo mambo ya mjini huyawezi,usivamievamie rudi kwenu Kaitaba..nani kakwambia kuna magroup hapa ya kuwaweka pamoja dangote na psquaire,hapa kuna category na psquaire hawapo.
 
kwani haiwezekani? Halafu kwenye hiiyo category P Square hawapo

hujaelewa mantiki ya hoja yangu, yani mimi binafsi siamini hizi kura nduo maana nikatoa mfano huo.

au ili uniekewe vizuri diamond awekwe category moja na chris Brown, hivi hapa hata huyu Brown asipopigiwa kura diamond atakuwa mshindi?

huo ndio msingi wa point yangu kwamba hizi kura ni kiini macho tu.
 
we dogo mambo ya mjini huyawezi,usivamievamie rudi kwenu Kaitaba..nani kakwambia kuna magroup hapa ya kuwaweka pamoja dangote na psquaire,hapa kuna category na psquaire hawapo.
acha kunizoeazoea kenge wewe, kama unatafuta bwana nenda love connect kule utapata bwana wa kukuna kijambio kinachokupwita.

kama umezoea kudandiadandia ni bora udandie daladala na siyo kudandia libolo.
 
Back
Top Bottom