sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.
Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.
Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.
Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.