Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

umetazama wapi?
Screenshot_20210501-231514.png
 
Ukiona list hayupo burnaboy, Diamond na Gims basi ujue ni fake. Hapo labda youssour nduu, david adeleke na wizkidayo ndio utawaweka na Diamond kwa sasa. alafu akon sio mwafrica.
Niwekee source yako naona yangu ipo wrong
 
Ukiona list hayupo burnaboy, Diamond na Gims basi ujue ni fake. Hapo labda youssour nduu, david adeleke na wizkidayo ndio utawaweka na Diamond kwa sasa. alafu akon sio mwafrica.
Akon ni muafrika mkuu. Ni msenegal aliyezaliwa na kukulia marekani.

Pia tofautisha kati ya utajiri na umaarufu! Siyo kila tajiri ni maarufu na siyo kila maarufu ni tajiri!
 
Akon ni muafrika mkuu. Ni msenegal aliyezaliwa na kukulia marekani.

Pia tofautisha kati ya utajiri na umaarufu! Siyo kila tajiri ni maarufu na siyo kila maarufu ni tajiri!

Watu wengi hua hawajui kwamba wasanii wengi hua ni maarufu ila hawana hela. Kuna mtu ukimuambia kua Jay Z wa marekani hamfikii Mo Dewji wa bongo kwa hela hawezi kuamini!!
 
Wasafi media. Anamiliki share 45%... yaani kila faida ya milion 100 inayoingia wasafi media.. yeye anapata milioni 45
Kuwa na share 45% doesn't mean it will give u a profit of that %, in any company what you'd know is that, we're just dealing with dividends and not Net Profit. And for WCB Company case he only just enjoy a salary as the company oparates in Losses. Unapojaribu kuchambua vitu muhimu basi weka na sababu zenye maana ili tutofautishe kati ya Ushabiki na facts. Anaweza kuwa na hela nyingi sana ndio ila sio kwa kiwango ambacho jamii kubwa mnamdhania. Wasanii wa Bongo kwenye pesa wako overratted sana.
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
We unamiliki vyumba vingap hapa town?
 
Yawe Yawe
Konde boy

Sasa kama anazo nyumba why anapangisha au nyumba zake hazina Tbs
Jana tuliambiwa habari za kifo cha Haroun Zakaria (sina hakika kama ni habari za kweli)! Zakaria kama alihama nyumba za NHC basi ni miaka ya hivi karibuni tu!!

Sasa kwa uelewa wako tajiri kama Zakaria anaweza kushindwa kuwa na nyumba?!

Labda nikukumbushe tu, Diamond ni mpiga kazi sana, hata usiku wa manani unaweza kumkuta ofisini!

Kwa mtu kama huyo best option kwake ni kukaa karibu na kazini kwake na sio kuonesha kwamba na yeye anamiliki nyumba! Kwa bahati mbaya, kaja kushika pesa wakati ambapo maeneo iliko ofisi yake yameshakuwa occupied na wenye pesa, na kuwavua inabidi uingie mfukoni hasa!!!
 
Kuwa na share 45% doesn't mean it will give u a profit of that %, in any company what you'd know is that, we're just dealing with dividends and not Net Profit. And for WCB Company case he only just enjoy a salary as the company oparates in Losses. Unapojaribu kuchambua vitu muhimu basi weka na sababu zenye maana ili tutofautishe kati ya Ushabiki na facts. Anaweza kuwa na hela nyingi sana ndio ila sio kwa kiwango ambacho jamii kubwa mnamdhania. Wasanii wa Bongo kwenye pesa wako overratted sana.
Wewe ndo finance manager au accountant wa Wasafi Media hadi ufahamu wana-operate in losses, au?! Kwamba, anachoweza kupata is just dividend basi inaonesha wazi ama huna uelewa wa haya mambo, au umeamua tu kujitoa ufahamu!

Share values zinakuwa as the company makes profit ( for the case of non-listed company),... na huwezi kupuuza hilo!

Kama biashara ilianza kwa sh. 100, yeye share zake zilikuwa na thamani ya Sh. 45! Kama biashara imepata faida na kukua kiasi cha kuwa na thamani ya sh. 200, thamani ya share zake haziwi tena Sh 45!

Leo hii inapotangazwa kwa mfano, Elon Musk amempiku Jeff Bezos kwa utajiri, sio kwamba kuna pesa ya ziada imeingia kwenye akaunti ya Elon bali thamani ya hisa zake imepanda!!!
 
Back
Top Bottom