Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Akiwa navyo wewe unapata nini?

mwambie amuoe marehemu mama ako basi
 
sinza ndio maana vijana wa uko wanafirw* tamaa sana
 
Mkuu tulia kidogo afu pitia huo ujumbe wangu na wako. We unadhani Profit inatolewa tu kwa shareholders? Kuna some issues zinakuwa covered then kinachobakia ndio tunaita gawio ambalo ndio wanapata. Kuhusu share kuongezeka thamani hiyo ni kawaida lkn pia inaweza kushuka maana usikariri tu.
Kama ulidhania wanagawana FAIDA ondoa hiyo kitu.
Afu nani kakuambia kuwa mtu akitangazwa tajiri ni kwa sababu ya shares zake? We ni kilaza wa mwisho, unaposikia mtu fulani ni TAJIRI hatuangalii hizo shares tu, tunaangalia assets zake ambazo tukizichange tunapata fedha kiasi gani, hapo tunajumuisha Nyumba, mashamba, nk nk nk. Sio kwamba wanaangalia share zake kupanda. How possible kampuni moja afu share za Diamond zipande na za sharaholder ziwe chini? Ile ni kampuni hivyo kinachopanda ni share za kampuni na sio za mtu fulani.
Tatizo lako unaingiza ushabiki wa kitoto. Hapo mwenyewe unakula daku wali maharage huku umeshika Infinix iliyo na cracks na ambayo amekuachia shemeji yako unajiona umeandika nondo kwelikweli.
Chief nimekuelewa kinoma noma.Uko vizur basi ni jamaa kaamua kushupaza ufahamu.
Ila hapo kwenye infinix naomba utuache kidogo usije leta maafa ya kimbunga Jobo.
 
Achana na media na mengine, Diamond kwenye mauzo ya muziki digital kwa mwaka haipungui million 700 na hapo anatoa nyimbo mbili kwa mwaka. Sasa ngoja aje na album nafikiri ataweka rekodi mpya east Africa ya mauzo.
Akiingiza billion moja utafaidika? angalia maisha yako na familia yako kwa ujumla
 
Chief nimekuelewa kinoma noma.Uko vizur basi ni jamaa kaamua kushupaza ufahamu.
Ila hapo kwenye infinix naomba utuache kidogo usije leta maafa ya kimbunga Jobo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kunogesha genge... Mi huwa nashangaa mtu akitaniwa hivyo anachukia wakati hata hatujuani. Yaan humu ndani ni kituko, mtu anaweza mind as if mnajuana na anatamani arushe hata mshala kama morani. Wanasahau huu ni mtandao na hatujuani hivyo watu wachukulie pia ni sehemu ya kufurahia maisha
 
Mkuu unaweza kuwa na hoja nzuri sana, lakini unafanya personal attacks ambazo ni unnecessary.

Acha kujificha kwenye matusi, fafanua hoja zako zieleweke.
Usimlaumu, matusi na diversions za kukwepa mapambano ya hard facts ni strategy unapoona ya kwambayou're throwing punches but you ain't strong enough kukabili similar punches zitokazo kwa mshindani wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chawa wa WCB ndo wanachopenda kuona na kusikia, na jamaa anajua hilo bas anapita mule mule, kumbe anawapiga changa la kisogo..
Kuna jitu liongo na lipenda sifa zisizo stahili km domokaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usimlaumu, matusi na diversions za kukwepa mapambano ya hard facts ni strategy unapoona ya kwambayou're throwing punches but you ain't strong enough kukabili similar punches zitokazo kwa mshindani wako.
Hivi kuna mtu katukana pahala fulani?
 
Usimlaumu, matusi na diversions za kukwepa mapambano ya hard facts ni strategy unapoona ya kwambayou're throwing punches but you ain't strong enough kukabili similar punches zitokazo kwa mshindani wako.
Hivi kuna mtu katukana pahala fulani?
 
Afu nani kakuambia kuwa mtu akitangazwa tajiri ni kwa sababu ya shares zake? We ni kilaza wa mwisho, unaposikia mtu fulani ni TAJIRI hatuangalii hizo shares tu, tunaangalia assets zake ambazo tukizichange tunapata fedha kiasi gani, hapo tunajumuisha Nyumba, mashamba, nk nk nk. Sio kwamba wanaangalia share zake kupanda. How possible kampuni moja afu share za Diamond zipande na za sharaholder ziwe chini? Ile ni kampuni hivyo kinachopanda ni share za kampuni na sio za mtu fulani.
We Mburula kweli aisee!!

Yaani unakuta jana tajiri Jeff, halafu leo inatangazwa Musk kamzidi Jeff; kesho kutwa tena wanatangaza Jeff karudia kiti; yaani kwa akili yako unadhani kinachoangaliwa ni nini kama sio thamani ya share?

Anza kuwasoma Bloomberg Wealth kwanza:-
On Thursday it finally happened. The electric-automaker’s shares surged 7.9%, boosting Musk past Amazon.com Inc. founder Jeff Bezos on the Bloomberg Billionaires Index, a ranking of the world’s 500 wealthiest people. Musk is worth $194.8 billion, or $9.5 billion more than Bezos, whose Blue Origin is a rival to Musk’s Space Exploration Technologies Ltd., or SpaceX, in the private space race.
Hiyo ni January 6, Elon anamuacha Jeff!!

One week later, hawa hapa Forbes na wenyewe wasome:-
Jeff Bezos has yet again clinched the title of world’s richest person from Elon Musk, after shares of Amazon AMZN -0.1% jumped on Wednesday.

Amazon’s stock rose by nearly 1.5% on Wednesday, pushing Bezos’ net worth up by $2.4 billion, to $184.9 billion. That makes him the richest person in the world once again, according to Forbes’ estimates. Bezos is just $200 million richer than number two richest Musk, who is worth $184.7 billion
Hiyo ni January 13, 2021

Kama hapo kwenu kuna mtoto hata wa darasa la IV, hatimae muulize ni nani kilaza kati yangu na wewe!!

Btw, wapi nimesema huwa zinapanda shares za Diamond na za mwingine zinashuka? hivi una akili kweli wewe?!
Tatizo lako unaingiza ushabiki wa kitoto. Hapo mwenyewe unakula daku wali maharage huku umeshika Infinix iliyo na cracks na ambayo amekuachia shemeji yako unajiona umeandika nondo kwelikweli.
Acha kujifanya unajua wakati huna unachojua!!!!
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Wewe una nini? Hawa chawa wamekuwa wengi kipindi cha mwendazake!
 
Haya rudia kusoma utopolo wako juu kule. Ndio maana nimekuelekeza hapo usije hapa ukadhani unabishana na vitoto vya skuli ya donge. Kampuni tunagawana gawio tena wakati mwingine unaweza usipewe cash ikathamishwa kwenye share zake wa kuziongeza tu.
Nyie watoto wa uswazi mkikosa kazi za kufanya mnakuja kuanzisha vitu havina mashiko yoyote.
WEWE NI KILAZA, HUJUI LOLOTE, ndo maana badala ya kujibu kwa hoja, unakimbilia matusi... VERY STUPID!!!

Fine, mimi mtoto wa Uswazi, sasa how come wewe mtoto wa kishua unayetaka kuaminisha watu umesoma shule za kishua lakini bado una uelewa finyu kama ubongo wa kuku?
 
Back
Top Bottom