A share is a single unit of ownership in a
company or financial asset. It is essentially an exchangeable piece of value of a
company which can fluctuate up or down, depending on several different market factors.
Companies divide capital into
shares as a means of raising capital.
Shares are also known as
stocks.
Different types of shares
- Cumulative
- Non-cumulative
- Participating
- Non-participating
- Convertible
- Non-convertible
- Redeemable
- Irredeemable
How do shares work in a private company?
It gives investors who purchase the
private shares an ownership stake in the
company. In exchange for obtaining money to grow your business, you give up sole ownership. Later, you may decide to pay the investors back and take back equity, or you may keep them on as part-owners until you sell your
company.
KWA AKILI YANGU NDOGO NAVYO JUA NI HIVI:
Mfano kama wanataka kufungua wasafi media na wakaangalia kiwango kinacho hitajika ni mfano, milioni 100 hapo diamond ata weka zake arobaini na tano (%45) hivyoo watatafutwa wengine kumalizia asilimia 55% hivi mwenye share nyingi ni diamond kwa kuwa ni mtu mmoja ila weninge wa asilimian 55% wanakuwa ni watu wengi zaidi labda ya 5 au 6 na zaidi au hata 3.
Tukija kwenye swala la share kupanda ina maana kuna thamani ya faida imeongezeka kwenye kampuni, mfano kama ikiingia faida ya milioni 10 sio kwamba diamond atachukua zake 4.5 hapana maana share zina magawio ya aina tofauti sana, hapo offisi itapandisha hisa zake kutoka 45 lamda mfano mapaka 46.2% na anaweza akapewa kiasi kidogo either labda mshahara wa kawaida na nyongeza kidogo.
hii nikutokana na kuweka uwezo wa ku oparate kampuni pale inapo tokea swala la kushuka kwa hisaa au kipindi kampuni ina drag down. kuna kuwa na ziada ya ku cover loss.
wakisema mfano faida ni 100 M kisha waka mpa diamond milioni %45 zake kama faida jua kuna vitu kwenye kampuni havita enda kuna siku vita kwama.
na siku zote lazima kampuni ii hakikishe kuwa value ya share inapanda kila kukichaaa...
HAYO NI MAWAZO YANGU TU YANAWEZA KUWA NDIO AU SIO.