Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269

Kodi anaenda kula uncle Shamte.
Bte Mama ana kibendi
 
mkuu upo sahihi kabisa, nimepitia mjadala wenu nachokiona utaumiza kichwa tu. Kwani huyu mtu ataki kuelewa kabisa ni bora ufanye mambo mengine ila tupo tuliokuelewa.
Na nilishakusudia kuuchana nae.
 
50% ni mmiliki halali huyo, hakuna wazo linaweza pitishwa bila yeye! Ila ingekua ana 49% tu kwenye company,basi anakua anapelekwa tu! Huoni Simba wanakataa kumpa MO 51% za umiliki,unadhani kwa nini!
Zuckbergy ana share 29.3% na siyo 50
 
Swali langu la kizushiii elon musk ni wealthy au richest?

Chige / CARDLESS

Ingawaje hizi terms huwa zinatumika interchangebly, lakini hawa akina Elon Musk are just Richest Men on Earth!

Hawa Matajiri wa Kileo takwimu zao zinatolewa in real time, ndo maana kesho Jmatatu Elon anaweza kutangazwa ndie richest person kwa sababu Tesla Shares zime-shoot, na next week akatajwa Larry Page.

January kwa mfano, Elon alitajwa kuwa ndie richest man baada ya thamani ya hisa za Tesla kupanda kwa 4.8%.
 
Hiyo 30% inaweza kuwa ndio majority share holder, wengine wana 2%, 5% etc
We tutolee ujinga wako hapa. Majority shareholder lazima awe na share ambazo hata wale wengine wakizijumisha share zao hawamfikii. Huwezi kuwa na below 50% shares ukasema ni MAJORITY. Majority shareholder sio mmiliki mwenye hisa nyingi tu bali yule ambaye anaweza kuamua kitu bila kupingwa kutokana na nguvu yake kuzidi 50%.
 
Ingawaje hizi terms huwa zinatumika interchangebly, lakini hawa akina Elon Musk are just Richest Men on Earth!

Hawa Matajiri wa Kileo takwimu zao zinatolewa in real time, ndo maana kesho Jmatatu Elon anaweza kutangazwa ndie richest person kwa sababu Tesla Shares zime-shoot, na next week akatajwa Larry Page.

January kwa mfano, Elon alitajwa kuwa ndie richest man baada ya thamani ya hisa za Tesla kupanda kwa 4.8%.
Dogo utajiri hawaangalii kupanda kwa hisa as the base ya ww kuwa tajiri bali vitu vingi mno hapo huangaliwa.
 
Ingawaje hizi terms huwa zinatumika interchangebly, lakini hawa akina Elon Musk are just Richest Men on Earth!

Hawa Matajiri wa Kileo takwimu zao zinatolewa in real time, ndo maana kesho Jmatatu Elon anaweza kutangazwa ndie richest person kwa sababu Tesla Shares zime-shoot, na next week akatajwa Larry Page.

January kwa mfano, Elon alitajwa kuwa ndie richest man baada ya thamani ya hisa za Tesla kupanda kwa 4.8%.
Mtu anawezaza kuwa rich na wealthy at the same time kama utajiri wake ni endelevu on the other hand unaweza kuwa rich na usiwe wealthy . Mfano unaweza ukashinda bahatinasibu ukapata mamilioni ya hela na kuwa rich na utajiri wako ukakoma pale utakapofilisika kushuka ktk vigezo vya utajiriji wake. Hivyo kifupi wealth ni mtu mwenye utajiri endelevu(sustainable wealthy) na rich ni mtu aliepata hela, status kwa vigezo fulani fulani.
 
Una KICHWA KIGUMU KUELEWA!! Dalili tosha kwamba una digrii ya kuwavulia watu chupi!!
[emoji706][emoji706] Tatizo lako umekariri kuwa utajiri ni share na unaamini kabisa ukiwa na share 45% basi kwenye faida unapata hivyo. Ndio maana tangia muda ule unakula daku hapo kwa shemeji yako nakuelekeza. Nenda kajifunze tena. Tatizo lenu wanyoa viduku mnakuja na majibu yenu mfukoni hasa mkishiba ugali wa shemeji ndio akili inahama kabisaaa
 
Jana tuliambiwa habari za kifo cha Haroun Zakaria (sina hakika kama ni habari za kweli)! Zakaria kama alihama nyumba za NHC basi ni miaka ya hivi karibuni tu!!

Sasa kwa uelewa wako tajiri kama Zakaria anaweza kushindwa kuwa na nyumba?!

Labda nikukumbushe tu, Diamond ni mpiga kazi sana, hata usiku wa manani unaweza kumkuta ofisini!

Kwa mtu kama huyo best option kwake ni kukaa karibu na kazini kwake na sio kuonesha kwamba na yeye anamiliki nyumba! Kwa bahati mbaya, kaja kushika pesa wakati ambapo maeneo iliko ofisi yake yameshakuwa occupied na wenye pesa, na kuwavua inabidi uingie mfukoni hasa!!!
Unajua Zakaria alipokua akiishi kweli ??
 
Mtu anawezaza kuwa rich na wealthy at the same time kama utajiri wake ni endelevu on the other hand unaweza kuwa rich na usiwe wealthy . Mfano unaweza ukashinda bahatinasibu ukapata mamilioni ya hela na kuwa rich na utajiri wako ukakoma pale utakapofilisika kushuka ktk vigezo vya utajiriji wake. Hivyo kifupi wealth ni mtu mwenye utajiri endelevu(sustainable wealthy) na rich ni mtu aliepata hela, status kwa vigezo fulani fulani.
Nakubaliana na wewe kwa sababu pesa ndo kila kitu! Pesa ndo chanzo cha wealth! Hata hivyo, huu mjadala umeanzia mbali sana! Umeanzia ni kwenye kampuni kufanya vizuri, and consequently kupanda thamani za share!!

Halafu msipende kuingiza watu wa ku-bet kwenye mijadala kama hii ambayo watu tunajadili masuala ya kampuni na shares!!!

Hofu yangu ndo hiyo, kwamba utajri wako unaweza kukoma baada ya kufilisika kwa sababu mnamzungumzia mtu ambae sio investor... mnamzungumzia mtu anayemiliki cash!!!

Tu-stick kwenye agenda... watu na investments zao!!!
 
[emoji706][emoji706] Tatizo lako umekariri kuwa utajiri ni share na unaamini kabisa ukiwa na share 45% basi kwenye faida unapata hivyo. Ndio maana tangia muda ule unakula daku hapo kwa shemeji yako nakuelekeza. Nenda kajifunze tena. Tatizo lenu wanyoa viduku mnakuja na majibu yenu mfukoni hasa mkishiba ugali wa shemeji ndio akili inahama kabisaaa
Una KICHWA KIGUMU KUELEWA!! Dalili tosha kwamba una digrii ya kuwavulia watu chupi!!
 
We tutolee ujinga wako hapa. Majority shareholder lazima awe na share ambazo hata wale wengine wakizijumisha share zao hawamfikii. Huwezi kuwa na below 50% shares ukasema ni MAJORITY. Majority shareholder sio mmiliki mwenye hisa nyingi tu bali yule ambaye anaweza kuamua kitu bila kupingwa kutokana na nguvu yake kuzidi 50%.
Rudi shule
 
Rudi shule
Hiyo hapo na hawa pia warudi shule?
Screenshot_20210502-211027_Google.jpg
 
Hiyo hapo na hawa pia warudi shule? View attachment 1771546
Rudi kwenye comment yangu. Point yako itamake sense kama all shares (100%) zimekuwa allocated. Assuming kwamba Zuckerberg ni majority shareholder with say 30% hii inamaana other share holders wana minor shares - say 2%, 3%.. na pengine total shares zilizokuwa allotted hazizidi 50% usichoelewa nini?
 
Wapi umeeleza kuwa allocated shares zimekuwa chini ya 50%. Afu unawezaje kuwa 30% majority? Au huelewi kuwa 30% ni sawa na 30/100? Means kuna 70/100 ipo sasa ili uwe majority shareholder lazima uzidi 50% ya shares. Kinachofanyika ni kwamba kama hakuna mwenye share zinazozidi 50% basi unamtafuta mtu akupe support ili uunganishe shares ndipo muwe na nguvu kwa pamoja na hapo mmoja wenu ndio anaamua kumuacha mwenzake awe majority shareholder with a majority votes.
Sio kama unavyotaka kuaminisha watu kuwa unaweza kuwa 30% na uwe majority shareholder eti kisa una % nyingi zaidi ya wenzako.
Kuhusu FB angalia hapo chini.
20210502_213626.jpg
 
Back
Top Bottom