Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Watu wengi hua hawajui kwamba wasanii wengi hua ni maarufu ila hawana hela. Kuna mtu ukimuambia kua Jay Z wa marekani hamfikii Mo Dewji wa bongo kwa hela hawezi kuamini!!

Mkuu Mo Dewji, Bakharesa, Rostam sio watu wazembe wazembe kabisa
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Acha maneno broo na kuweka picha za kwenye mtandao kama za matapeli wanazoibianazo watu LETA HAPA HATI YA NYUMBA ILI TUJUE NA LAKO HALISI NA LA BABA YAKO
 
Acha maneno broo na kuweka picha za kwenye mtandao kama za matapeli wanazoibianazo watu LETA HAPA HATI YA NYUMBA ILI TUJUE NA LAKO HALISI NA LA BABA YAKO
Unataka hati kwani vita mzee? kama hauamini endelea na maisha yako ujashikiwa bastola.
 
CR7 pesa alizonazo hazifikii hata nusu ya pesa za Mo.
Kusimamia mali za kina fulani nalo sio tatizo. Mbona Jeff Bezos na Elon Musk wote ni CEOs wanasimamia mali za shareholders. Ila mimi mwenyewe sijawahi elewa utajiri wa Mo umekaaje, baba yake yupo na ndio kaanzisha hiyo fortune. Je tunahesabu mali kwa Gulam au kwa Mo?
Nadhani Mo sio peke yake ni mali ya family na uhakika wote wanafamilia wana share ila yeye ndio anaongoza kampuni ila na uhakika sio kwamba anamiliki 100% ni family business.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kunogesha genge... Mi huwa nashangaa mtu akitaniwa hivyo anachukia wakati hata hatujuani. Yaan humu ndani ni kituko, mtu anaweza mind as if mnajuana na anatamani arushe hata mshala kama morani. Wanasahau huu ni mtandao na hatujuani hivyo watu wachukulie pia ni sehemu ya kufurahia maisha
Ahaha i understand....ni mitihan mkuu.We humjui ila wengine wanamfahama ( u knw hzi pm things) so unapompa darasa anaona kama umadharirisha 😂😂 hapo ndio vijana walipojiharibia thats y full kubadil IDs ehehehehwh
 
We Mburula kweli aisee!!

Yaani unakuta jana tajiri Jeff, halafu leo inatangazwa Musk kamzidi Jeff; kesho kutwa tena wanatangaza Jeff karudia kiti; yaani kwa akili yako unadhani kinachoangaliwa ni nini kama sio thamani ya share?

Anza kuwasoma Bloomberg Wealth kwanza:-

Hiyo ni January 6, Elon anamuacha Jeff!!

One week later, hawa hapa Forbes na wenyewe wasome:-

Hiyo ni January 13, 2021

Kama hapo kwenu kuna mtoto hata wa darasa la IV, hatimae muulize ni nani kilaza kati yangu na wewe!!

Btw, wapi nimesema huwa zinapanda shares za Diamond na za mwingine zinashuka? hivi una akili kweli wewe?!

Acha kujifanya unajua wakati huna unachojua!!!!
Nilichogundua kwa akili hizi hatuwezi kuwa na nchi yenye uchumi imara. Kwahiyo wanaangalia share au sio? We ni kilaza tena sana.
Haya angalia ni kwa namna gani utajiri unapimwa maana ww ni chizi.
Tatizo hampendi kujua utajiri unakuwa measured vipi. Kwahiyo kama unashare zenye thamani yenye Bil 500 utaitwa tajiri hata kama una madeni ya Bil 600?
20210502_115744.jpg
 
Akon ni raia wa Marekani.period.
Bro usibishe tu ilimradi kubisha maana haikusaidii kitu na wala haibadilishi ukweli. Yeye mwenyewe anasema ni msenegal na anatambulika kama msenegal sasa sijui wewe ni nani unayemlazimisha asiwe muafrica.

Kuwa raia wa marekani haimfanyi kuacha kuwa muafrica maana kwenye comment yako ulisema Akon siyo muafrica. Hata Davido alizaliwa marekani na amekulia huko na ni raia wa marekani lakini pia bado anatambulika kama mnigeria.
 
WEWE NI KILAZA, HUJUI LOLOTE, ndo maana badala ya kujibu kwa hoja, unakimbilia matusi... VERY STUPID!!!

Fine, mimi mtoto wa Uswazi, sasa how come wewe mtoto wa kishua unayetaka kuaminisha watu umesoma shule za kishua lakini bado una uelewa finyu kama ubongo wa kuku?
Rudi tena skuli mdogo wangu. Utajiri haupimwi hivyo. Naendelea kusisitiza kuwa wakati unatumia hiyo infinix iliyocrack na ambayo umeachiwa na shemeji yako pitia pitia mitandaoni ujifunze kitu. Tatizo lenu mkitoka The AMAZON COLLAGE mnahisi mshamaliza kujua mambo.
 
Nadhani Mo sio peke yake ni mali ya family na uhakika wote wanafamilia wana share ila yeye ndio anaongoza kampuni ila na uhakika sio kwamba anamiliki 100% ni family business.
Anamiliki 75pc
 
Nilichogundua kwa akili hizi hatuwezi kuwa na nchi yenye uchumi imara. Kwahiyo wanaangalia share au sio? We ni kilaza tena sana.
Haya angalia ni kwa namna gani utajiri unapimwa maana ww ni chizi.
Tatizo hampendi kujua utajiri unakuwa measured vipi. Kwahiyo kama unashare zenye thamani yenye Bil 500 utaitwa tajiri hata kama una madeni ya Bil 600?View attachment 1770930
Hivi unaelewa kweli wewe?! Post yangu ilikuwa:-
Leo hii inapotangazwa kwa mfano, Elon Musk amempiku Jeff Bezos kwa utajiri, sio kwamba kuna pesa ya ziada imeingia kwenye akaunti ya Elon bali thamani ya hisa zake imepanda!!!
Na nimekuonesha hapo majarida mawili makubwa duniani wakati yanataja mtu mmoja anavyompiku mwingine, wewe unaniletea definition of wealth kama inavyofundishwa darasani!!
 
Rudi tena skuli mdogo wangu. Utajiri haupimwi hivyo. Naendelea kusisitiza kuwa wakati unatumia hiyo infinix iliyocrack na ambayo umeachiwa na shemeji yako pitia pitia mitandaoni ujifunze kitu. Tatizo lenu mkitoka The AMAZON COLLAGE mnahisi mshamaliza kujua mambo.
Jenga hoja dadangu, matusi hayatakusaidia sana sana yanathibitisha jinsi gani ulivyo mpumbavu!!!! Halafu sio Collage ni College, jinga sana wewe!!!
 
Back
Top Bottom