sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Inaongeza mzunguko wa pesa hatimae uchumi kuimalika na roho za choyo kupungua mjini.Hii itasaidiaje Mheshimiwa Samia aweze ongeza Mishahara
Huyo yuko vizuri, ni mapopoma tu ndiyo hayataki kuelewa.
Ana miliki media gani??
Anazo 126 jumla.anagapi zama keya maaja
47% shares.Wasafi media. Anamiliki share 45%... yaani kila faida ya milion 100 inayoingia wasafi media.. yeye anapata milioni 45
Achana na media na mengine, Diamond kwenye mauzo ya muziki digital kwa mwaka haipungui million 700 na hapo anatoa nyimbo mbili kwa mwaka. Sasa ngoja aje na album nafikiri ataweka rekodi mpya east Africa ya mauzo.Kwa level aliofikia nyumba ni kitu kidogo sana.. yaani umiliki media inayosikilizwa na inayotizamwa kama wasafi media halafu ushindwe jenga majumba
Kijana yupo vizuri.Maana halisi ya chawa.
Mbona nimeangalia hata top 20 hayupo?Katika wasanii wenye pesa Africa...Diamond yupo top 5 kuna wanaija wachache ndio wanamsumbua.