Diamond afananishwa na mwanaume mshamba, limbukeni na aliyekurupukia mapenzi ukubwani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANI



​

KAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!.

USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,


Mambo ya kuanza kurekodiana kwenye maongezi yaliyo private na kuyasambaza binafsi naona ni kuvuka mipaka na Ushamba uliopitiliza,

DIAMOND unaimba nyimbo nzuri za mapenzi lakini sasa una-prove Ushamba juu ya Mapenzi yenyewe,kifupi hakuna mtu anayekulazimisha uwe na mrembo gani kimapenzi kwani wewe ni mtu mzima maliza wanawake wote duniani ikiwezekana tembea mpaka na Mamba wa kwenye Mabwawa,hiyo ni hiari yako, ila unapopeleka hewani sauti ya maongezi private na wema aidha kwa kutafuta kuongeza umaarufu,this is rubbish!!!,


Kwa haraka haraka ukimsoma diamond unagundua kuwa ni wale wanaume ambao hawakuwahi kubahatika kupendwa na wanawake wazuri,sasa wanapokuja kushika pesa au umaarufu ndio inakuwa siraha yao ku prove kwenye jamii kwamba hata nao wanaweza.


Yaani Diamond kushobokewa na madem wazuri kwake ni kama ngekewa ndiomaana anaingia kichwa kichwa.

PENNY usisahau kwamba huyu wema alikuwa rafiki yako na ukamchukulia Bwana,tena bwana mwenyewe ni huyu mtoto wa kiswazi ambaye Mapenzi yanampeleka puta!,anayedhihirisha ulimbukeni wake kwenye jamii.


Leo kwa ushirikiano wako na Diamond umemuanika msichana mwenzako kumdhalilisha,ok tia maji kichwa chako hii ni Bongo soon utanyolewa na tutaandika hapa hapa.

WEMA, Sasa ukae chini ujifunze kwamba mitoto ya Kiswazi mingi milimbukeni,wewe ni binadamu na hujakamilika basi jaribu kujikamilisha kwa kupunguza makosa,sina maana ya kwamba nakutetea wewe bali binafsi sipendezwi na KUDHALILISHWA KWA MWANAMKE YEYOTE!

KIOO CHA JAMII :
Hapa hakuna kioo,ni heri kuzamisha sura kwenye tundu la choo ukiamini kwamba utaiona taswira yako kuliko kuwapa dhamana wasanii malimbukeni.


Credit: Sheria ni Msumeno


 

Peleka entertainment chap hapa mijokes ndo mia mia. Toa hapa
 
Ndio maana mi nawasikiliza hawa majukwaani or on cd. I like their pieces, not their personalities.
In tanzania most stars will do anything, including divulgating their own scandals, just to make the headlines because watanzania wengi wanapenda udaku. One of the easiest way to stay famous.
We unaweza muonea WS huruma kumbe yeye kaona poa tu (or not). Waarabu wa pemba hao, we ridhika na sanaa, achana na maisha yao.
 
Haaahaaaa acheniu ujinga huyu wema ndie limbukeni na mjinga kipi alichokiacha kwa diamond nasema hivi nikimaanisha maana wote kwanguy ni malaya ila kwa aliyo;fanyia mwanzo sikudhan kama aliacha kitu kwake zaidi ya kujidhirrisha umalaya wake labda nikkusaidie kama uko nae karibu mwambie kama ajafa atakufa namwambia anachofanya nikimoja alipoona anatembea na irene uwoya anachofanya ni kumlillia diamond aonekane yeye anafaa zaidi while too late maisha ya sasa sio ya kutest uchi kama anavyofanya diamond na malaya wenzake;so mi nafurahi tu
 
Haaahaaaa Mkuu Mzizi makavu haoana bana tutke radhi yaani na wewe wamtetea huyu binti haapana hata siamini na samahan kama nimekuudhi kwa hili ila kidogo hapa atuko pamoja nafikir jambo la maana tuutamsaidiaje wema basi;kama ulisikia juu juu issue yake na alichofanyowa na diamond nimesoma magazetini nkasikia sauti ya wena sikuamini;;labda nikusaidie hii ni game kati ya WEMA VS IRENE UWOYA HUYU DADA PENNY UMWONEA TUKIWA HAI KUNA MAKUBWA YANAKUJA JUU YA HAKA KAMCHEZO TUOMBE UHAI SO SAD IF U WILL HEAR TO LOOSE SOMEONE for stupid love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…