Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.

Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.

Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…