Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
Haujui yaliyo nyuma ya pazia hivyo ni lazima usifie. Swali la kujiuliza ana mguvu kiasi gani ya kufanya maamuzi kwenye hizi kampuni?Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.
View attachment 2023903