Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.

Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.

Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.

View attachment 2023903
Haujui yaliyo nyuma ya pazia hivyo ni lazima usifie. Swali la kujiuliza ana mguvu kiasi gani ya kufanya maamuzi kwenye hizi kampuni?
 
Tutajengea msikiti kuzisafisha
Dunia imejaa unafiki sana.

Jutahidi sana kulinda kichwa chako.

MUngu alimpa kila binadamu kichwa chake.

Ukiona kichwa chako hakiwezi kutumika ukaamua kumkabidhi mtu akuamlie unywe Pepsi qu Coca, au usikilize radio gani au ubetie kampuni gani, ni maamuzi yako.
 
Wala usiwe na wasi, ni mali yako kwa matumizi yako.

Nimekurahishia watu wakujue, hakuna haja ya kujificha ficha kwenye maneno.

Endelea KUPULIZWA mpaka uzae mwaka huu
Sasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwasilisha ninacho kitaka.

Sasa kama unaumia ni ww umechagua kuumia Mku Ndugu kwa kusoma post zangu na sija kulazimisha Mkuu Ndugu ni ww shobo zako kudandia post za wanaume.
 
Sasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwalisha ninacho kitaka.

Sasa kama unaumia ni ww umechagua kuumia Mku Ndugu kwa kusoma post zangu na sija kulazimisha Mkuu Ndugu ni ww shobo zako kudandia post za wanaume.
Endelea KUPULIZWA mimi sina pingamizi.

Tena nasema UPULIZWE mpaka utapike damu
 
Haujui yaliyo nyuma ya pazia hivyo ni lazima usifie. Swali la kujiuliza ana mguvu kiasi gani ya kufanya maamuzi kwenye hizi kampuni?
Mkuu sijaelewa nini haswa kinakuumiza kusifia kijana mwenzetu kuendelea kuongeza uwekezaji?

Kilichonyuma ya pazia ni kipi zaidi ya partnership?

Basi ngoja nikwambie ni hivi Diamond anamiliki Wasafi bet pamoja na mtoto wa Mwai Kibaki.

Inapunguza chochote?
 
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.

Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.

Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.

View attachment 2023903
Hongera kwa Sadala, Hiyo logo style yake sijaisoma
 
Mwenye iyo betting namjua.naona kijana kauza jina tayar

Comment ya kutanzania
 
Sahihi kabisa, unachukuwa fedha za wengi unampatia mmoja kidogo (mshindi) na wengine wanaona sawa tu.

Ni ishara ya umasikini uliokithiri kushabikia kamari.
Hakuna zambi kubwa ama ndogo..kabla ya kumhukumu mtu jiangalie wewe kama ni msafi.
 
Back
Top Bottom