Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Huyo jamaa yupo vizuri sana humu jukwaani...ila kwenye habari za diamond anajitoaga akili anakua zezeta Sijui kwaniniSasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwalisha ninacho kitaka.
Sasa kama unaumia ni ww umechagua kuumia Mku Ndugu kwa kusoma post zangu na sija kulazimisha Mkuu Ndugu ni ww shobo zako kudandia post za wanaume.
Sawa Mkuu Ndugu, endelea kushobokea post za wanaume.Endelea KUPULIZWA mimi sina pingamizi.
Tena nasema UPULIZWE mpaka utapike damu
Namjua vizuri na ndio maana naenda nae kihunihuni.Huyo jamaa yupo vizuri sana humu jukwaani...ila kwenye habari za diamond anajitoaga akili anakua zezeta Sijui kwanini
Ingekua hivyo basi waislam wasingepelekwa jeshiniLakini nguruwe hataki hata kumuona
MwanaMUME lazima ashobokee post za Wanaume ili wakikaa vibaya wanakazwa nati zilizolegea.Sawa Mkuu Ndugu, endelea kushobokea post za wanaume.
Sawa Mkuu Ndugu, endelea kushobokea post za wanaume.MwanaMUME lazima ashobokee post za Wanaume ili wakikaa vibaya wanakazwa nati zilizolegea.
Diamond katuletea wasafi Betting Harmonize katuletea Mwanamke wa Kimarekani Baada Akifilisika aseme Kalogwa...Lakini nguruwe hataki hata kumuona
🤣🤣🤣Kubet dhambi ila kutafta hela sio dhambi😅
HahahahahhaDiamond katuletea wasafi Betting Harmonize katuletea Mwanamke wa Kimarekani Baada Akifilisika aseme Kalogwa...
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi sijamzungumza mtu fulani, nimezungumzia hiyo kamari ambayo ndiyo imekatazwa. Tafadhali tafautisha kati ya viwili hivyo.Hakuna zambi kubwa ama ndogo..kabla ya kumhukumu mtu jiangalie wewe kama ni msafi.
Mbona kuna vitu vingi vimekatazwa we umeona kamari tu? vp kuhusu uzinzi,ushoga,uongo na unafki ukiepuka hayo yote ndio utakua huru hata kusema kamari ni dhambi.Mimi sijamzungumza mtu fulani, nimezungumzia hiyo kamari ambayo ndiyo imekatazwa. Tafadhali tafautisha kati ya viwili hivyo.
Kijana hapa iliyozungumzwa ni kamari kwani hatuko kwenye mahubiri ya dini. Ungekuwa ni mjadala wa dini ndiyo tungeongelea yote hayo.Mbona kuna vitu vingi vimekatazwa we umeona kamari tu? vp kuhusu uzinzi,ushoga,uongo na unafki ukiepuka hayo yote ndio utakua huru hata kusema kamari ni dhambi.
ulipotaja zambi tayari ulikua umeingia kwenye mambo ya dini..Kijana hapa iliyozungumzwa ni kamari kwani hatuko kwenye mahubiri ya dini. Ungekuwa ni mjadala wa dini ndiyo tungeongelea yote hayo.
Hewalla. Lakini siyo zambi ni 'dhambi'ulipotaja zambi tayari ulikua umeingia kwenye mambo ya dini..
Acha kubet ila mnaharibu sana watoto nyie maustaadhKubet dhambi
Nani kamjengea chuki kwani?Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.
View attachment 2023903
🤣🤣🤣Acha kubet ila mnaharibu sana watoto nyie maustaadh
Nimekuelewa.Hewalla. Lakini siyo zambi ni 'dhambi'