Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

Tunaipongeza sana serikali ya awamu ya sita kwa kukuza uwekezaji
 
Astakafirarah..
Na akipata faida atajenga masjid al nuur?!
 
Napitia post zenu wachawi.
Ukimchukia mtu kwasababu ya kufanikiwa kwake jua kuwa ndio unamfungulia milango zaidi.
Imagine jinsi Mondi alivyoanza kuchukiwa miaka 6 nyuma mpaka Sasa anazidi kupepea tu
 
Reactions: Qwy
Kuwa na biashara ya ku bet sio kitu cha kujivunia!
Ku bet imeusishwa na watu kujiua, afya ya akili, ulevi na kadhalika!
 
Sana tusimbeze Diamond, kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend Diamond Platnumz. Jina lake tu Diamond amefanya Investment kubwa ya Persona yake nyumbani na kimataifa

Invest In Your Persona - Shaping African Conversations #GinaDinGroup



Source : Shaping African Conversations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…