Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

Hivi vizazi vya mzee benja na jk hasara tupu. Badala ya kufanya na kufikiri mambo ya msingi, kazi kuangalia wasanii wanafanya nini...

Uwepo wako tu hapa ni wazi kuwa hata wewe huna lolote la msingi unaloliwaza kuhusu maendeleo, ninauhakika unafahamu hili ni jukwaa linalojadili maisha ya watu maarufu.
 
Na ni ujinga kweli tena wa hali ya juu how possible eeeh!! Watu tufanye kampeni ya kumuunfollow alafu eti badala ya followers kupungua kwa kasi ya gesi ndio kwaaanza wamezidi,hivi nani mwenye akili timamu anayeweza kuvumilia ujinga kama huu??eti Shardcole???

Siku ukipigwa ngumi usituite! 😂😂😂😂😂😂😂 Si kwa uchokozi huu.
 
Last edited by a moderator:
Siku ukipigwa ngumi usituite! 😂😂😂😂😂😂😂 Si kwa uchokozi huu.

Ndio wamuache kijana wetu afanye yake akihema wanae akijamba wanae,diamond kawakaa hapo mdomoni ka mate kummeza hapana kumtema hapana wanataka nini sasa??
 
Hivi Ile kampeni ya kumu unfollow inst baada ya kuonesha kuisupport ccm nilitegemea kuona poromoko la followers sasa imekuwaje tena wamezidi au mulimu unfollow in additional way?? Eti pwilo na Shardcole can any of u help me to understand pulizzzzzz??

hahahahahahaha watu mitini wakishapewa facts hahaha
 
Last edited by a moderator:
Tajiri Afrika mashariki na kati??????
 
I see a bunch of useless haters comments, stupid haters hate what they can't conquer

Tatizo ni kuwa wanaumia sana, hawajui kama Taylor swift kafanya sherehe this week kwa kuongoza kuwa na followers wengi instagram kumpiku kim na beyonce...

Zamani ilikuwa habarizako zisiposikika redioni, tv au magazetini watu hawawezi kufahamu chochote juu yako, lakini nowdays insta, twitter na facebook zimekuwa platform nzuri sana hasa kutangaza kazi zao link za kucheki video youtube, kuwnload audios, kuomba kura, kutangaza shows n.k

na wengine wanatumia kama sehemu ya matangazo, kwa mf. Diamond anawatangazia sana Samsung, Huawei, na sasahivi deal hili la Msasani mall alilopata tiffah la Million 50 na bado wadhamini wa sura wanaongezeka kuweka pesa sura ya mtoto ioneshwe ...
 
Kuna Dada wa kibongo si mbongo fleva wala mbongo movie Ila ni make-up artist Ana followers1.6m
 
hatimae rais wa wasafi duniani na kwenye galaxy,baba wa mtoto mwenye jina kubwa duniani na mwanamziki mwenye mkwanja mrefu kuliko wasanii wote afrika mashariki na kati anaetingisha na nyimbo ya nana ambayo imepata nomination za kutosha zaidi ya nyimbo yoyote afrika nzima na inayokaribia kuwa na viewers wengi sana youtube,prof of proffesors asali ya warembo na ambae hachuji kwa kila anachokitoa diamond platnumz afikisha followers milion moja instagram! wapi kiba na shoo za mchambawima!!

Kwa uandishi huu, haya sio mapenzi ni mahaba.
 
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Back
Top Bottom