Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hivi vizazi vya mzee benja na jk hasara tupu. Badala ya kufanya na kufikiri mambo ya msingi, kazi kuangalia wasanii wanafanya nini...
Na ni ujinga kweli tena wa hali ya juu how possible eeeh!! Watu tufanye kampeni ya kumuunfollow alafu eti badala ya followers kupungua kwa kasi ya gesi ndio kwaaanza wamezidi,hivi nani mwenye akili timamu anayeweza kuvumilia ujinga kama huu??eti Shardcole???
Siku ukipigwa ngumi usituite! 😂😂😂😂😂😂😂 Si kwa uchokozi huu.
I see a bunch of useless haters comments, stupid haters hate what they can't conquer
n pa1 na ww,s upo chin ya serikal ya ccmhii serikali ya ccm ndio imetuletea hawa watu
na ww hapa unafanya nn?Hivi vizazi vya mzee benja na jk hasara tupu. Badala ya kufanya na kufikiri mambo ya msingi, kazi kuangalia wasanii wanafanya nini...
Tajiri Afrika mashariki na kati??????
hatimae rais wa wasafi duniani na kwenye galaxy,baba wa mtoto mwenye jina kubwa duniani na mwanamziki mwenye mkwanja mrefu kuliko wasanii wote afrika mashariki na kati anaetingisha na nyimbo ya nana ambayo imepata nomination za kutosha zaidi ya nyimbo yoyote afrika nzima na inayokaribia kuwa na viewers wengi sana youtube,prof of proffesors asali ya warembo na ambae hachuji kwa kila anachokitoa diamond platnumz afikisha followers milion moja instagram! wapi kiba na shoo za mchambawima!!
TUZO TANO(5)
(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura
@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist
Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA
==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo
==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary
==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo
==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo