Aelewane na DIMPOZY kwanza.
No diamond nah alikubaKweli ukiangalia interview nyingi diamond anaonyesha hana bifu lakini alikiba anaonyesha anapenda bifu
Atasema nini mfalme kamaliza.. After all haya hatupaswi kuyaandika maana ndio yanayowagawanyisha hawa watu.Mweeeeh namsubiria KING wangu aseme kama ya kweli hayo
HahahaaUna maana akubali kumshikisha ukuta Dimpozi au?
Hata mimiWafanye kolabo ndiyo nitaamini.
Mpaka KING aseme basiiiiiiiiAtasema nini mfalme kamaliza.. After all haya hatupaswi kuyaandika maana ndio yanayowagawanyisha hawa watu.
Najua atafata nyayo tu.... Mnyama kamaliza.Mpaka KING aseme basiiiiiiii
Kwenye kuhamasisha mashabaki na kuchangia hela za Serengeti boy sijui itakuajeWafanye kolabo ndiyo nitaamini.
Namaanisha waondoe tofauti zao na kuwa karibu kama zamani kisha washirikiane. Mambo ukuta sidhani kama yana ukweli wowote, ni moja kati ya maneno ya MOND ambayo nayaona ya kike na kutafuta kiki.Una maana akubali kumshikisha ukuta Dimpozi au?
Blah blahhawa hawawezi kufanya collabo tena na bado wana bifu baridi ila hawajionyeshi kabisa hasa Diamond. ishu ya kuzimiwa mic na kufutiana vocals kwenye ngoma ya single boy ni majibu tosha