Diamond afunguka kuhusu Ali Kiba, asema watu waache uchonganishi

Diamond afunguka kuhusu Ali Kiba, asema watu waache uchonganishi

Namaanisha waondoe tofauti zao na kuwa karibu kama zamani kisha washirikiane. Mambo ukuta sidhani kama yana ukweli wowote, ni moja kati ya maneno ya MOND ambayo nayaona ya kike na kutafuta kiki.

Diamond hajawahi kuifuta hiyo kauli, kwa hiyo bado iko relevant on his part.
 
Chibu Dangote
@diamondplatnumz

Kwanza sina tatizo na Ali, na Namfahamu kabla sijaanza kazi zangu za mziki, hata madancer wangu kabla sijatoka walitumika kwenye video yake

Chibu Dangote
@diamondplatnumz
7h
Na wasafi dot com inaruhusu kabisa kuuza kazi zake, na italeta picha nzuri, na nishakutana nae Nairobi tuliongea kila mtu aliyokuwa nayo

Nadhani tuvisii media viache kushawishi media sababu mimi na Ali tulishakutana tukayaongea madukuduku yetu.
 
Kweli ukiangalia interview nyingi diamond anaonyesha hana bifu lakini alikiba anaonyesha anapenda bifu
Mpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibu
 
Mpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibu
Hivi povu lote hilo ni la kwangu tu
 
Tatizo kiba Ana kisokorokwinyu na hii Ni tabia ya wavuna mawese WA kigoma hasa akikuchukia
 
Mpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibu
Hizi ni baadhi ya diss za kiba kwa mond

Kama ni kiti kilikuwa na vumbi so nachofanya narudi kufuta vumbi na kukaaa tena

Kama ni siti diamond yuko back seat

Mm, davido anataka tufanye wimbo tukiwa serious cyo kama walivofanya na diamond back stage

Nimetoboa africa bila kiki na collable

Chaijaba,

Huwezi nilinganisha na diamond labda mlinganishe na akina abdul kiba cyo mm

Debe tupu ndo hupiga kelele

Conclusion
Wote waropokaji cyo domo cyo bushmen kibakuli
 
hawa hawawezi kufanya collabo tena na bado wana bifu baridi ila hawajionyeshi kabisa hasa Diamond. ishu ya kuzimiwa mic na kufutiana vocals kwenye ngoma ya single boy ni majibu tosha
Sio single boy..... Fuatilia mkasa vzr ndo uongee. Single boy inatka bifu lilkuwa badoo
 
Mkuu joboychali single boy ndo ilikua mwanzo wa bifu. tusiandikie mate wakati wino upo.. ingia youtube search interviews za kiba na chibu kwenye account ya sporah
 
Jaman ni single boya au lala salama?? Nakumbuka kama ni lala salama jamaa alifuta sehem ga kiba,
 
Back
Top Bottom