Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Namaanisha waondoe tofauti zao na kuwa karibu kama zamani kisha washirikiane. Mambo ukuta sidhani kama yana ukweli wowote, ni moja kati ya maneno ya MOND ambayo nayaona ya kike na kutafuta kiki.
Diamond hajawahi kuifuta hiyo kauli, kwa hiyo bado iko relevant on his part.