AAaaaaah khaaa, tumetoka mbali binamuu, nilichambwa kweli sio utani yan mpaka leo nipo nina roho ngumu
Mwenzangu hilo nalo neno, atumwagie hayo mauchafu yake, maana mie presha ishanipanda apa ninavyopenda umbea
ndo mana mi siko active sana mana ngosha akija simu naweka pembeni kabisa siku hata siku nzima siingii naogopa
Hhhhaaaaa,mi hua nikiulizwa unafanya ninii najibu haraka naangalia tv hhhhaaa wakati nimo jamiii hhhhhhhaaaaa yaan huwi comfontable kusema nimo jamii hhhhhaaaa
Hhhhaaaaa,mi hua nikiulizwa unafanya ninii najibu haraka naangalia tv hhhhaaa wakati nimo jamiii hhhhhhhaaaaa yaan huwi comfontable kusema nimo jamii hhhhhaaaa
Aaaaah aaaah ilikuwa shidaa, si masihara warumi vichambo tu nimevipata sana tena vya haja
hahahahaa yaani ni shida
mi kuna mda anachukua simu kabisa ndoa tamu mwenzangu maisha yenyewe haya akuuu
naheshimu mume wangu ananiweka mjini
hahahahaa yaani ni shida
mi kuna mda anachukua simu kabisa ndoa tamu mwenzangu maisha yenyewe haya akuuu
naheshimu mume wangu ananiweka mjini
Haha haaaa kweli una moyo sana...
Hivi na kipindi cha kumchamba Mange ulikuwemo humu hhhhhaaaa zilikua timu mbili humu timu Mange na sie ambao hatumtakii hhhhhaa ilikuaga rahaa mnoii
Ilikua ni shida binamu siku hiyoo Kim nana akaniacha yaan nikabaki na BADILI TABIA ilikua shidaa Paula kilaki ukujee
Umbea uko damuni kwangu. Mchambo gani huo samahani lakiniShoga angu Siku hizi nikiona MTU anakuja na personal attacks nakaa pembeni.....ule mchambano was MMU ulinicost mwaya, sitaki kumuudhi tena Daktari wangu....namuheshimu sanaaa....achilia mbali kumpenda....
Shoga angu Siku hizi nikiona MTU anakuja na personal attacks nakaa pembeni.....ule mchambano was MMU ulinicost mwaya, sitaki kumuudhi tena Daktari wangu....namuheshimu sanaaa....achilia mbali kumpenda....
Nakumbuka hadi lara akaamua kufungua thread ya kumtetea