Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh mwenzangu nalinda heshma yangu,siwezi kuyasema mambo machafu vile hadharani...
Wewe zamani hili jukwaa lilikua linavamiwaaa,tunamchangia Matola kumchamba mi na warumi,,,basi Warumi ananifata pm ananiambia binam Dina tunalichamba lakini linachamba hiloooo yaan nilitaman kuchanika mbavuuu
Basi mwenzangu siku hizi wamepoa alikuwepo matumbo nae alikua mtata balaa na wengii walikua wakimchamba warumi weweee
Haijulikan kabisa, kuna watu walinichongea si unajua tena warumi alivyokuwa na maadui, bhas wakani report , yan nikiwajua nitawachamba we ngoja tu nafanya upelelez kimya kimya hawataamini
Aaaaaaah aaaaaaah aaaaaj aiseeh ntakupenda milele, maana shuruba tulizopitia mungu anajua, yan umbea huu binamu hakyanani ipo siku yatatukuta kwa kwel, maana tumezid umbea khaaa
Mhh mwenzangu nalinda heshma yangu,siwezi kuyasema mambo machafu vile hadharani...
Na mbaaaado mtavimba hadi vidole Wema kimbizaaaaaaaaaa kwenye kona pshaaaaaaaaa
Hahaha am backoooooooo kimbunga kilinitupilia feri
Wameitekaje?ukijaribu ku log in nayo inagoma?
Aaaaaaah aaaaaaah aaaaaj aiseeh ntakupenda milele, maana shuruba tulizopitia mungu anajua, yan umbea huu binamu hakyanani ipo siku yatatukuta kwa kwel, maana tumezid umbea khaaa
AAaaaaah aaah ebu tupishe, binamu ananipa maujanja
Ila Dinazarde nae kiboko, siri zote anatoa hadharan, kwel umbea upo kweny damu, mwenyew unaona mimi tu ndo nasoma aaaahh shaur zako
Tyeeena Jana mchana Wema na diamond walikuwa pamoja shoppers sasa nyie vimbeni vidole hapa. Mapenzi ya wawili au wa 3 hayaingiliwi ohooooo. Juzi kwenye birthday mlishukwa shuuu sasa na hapa kuna watu mtajificha chini ya kiti sijui km kwa wanene patatosha
Nimekuelewa shoga wala usijali nikupongeze kwanza mwanamke hulka mwenzangu kweli umefunzwa sio ka mama ndomo! thumb up to you lady!
Nilijua tu lazima ujee hhhhhaaa
Halaf nimeona kwa mange id yako ni wewe au mtu kakuigaa???