Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa dini ingekua inaruhusu ingebidi tutafutane jamani...habari nzuri sana hii
Meeting muhimu, maana watu walizid kujipendekeza maana wengine walijitolea suti bure, sasa sijui itakuwaje, aibu jaman, hii ni funga mwaka
Ni uhakika hawa watu hawajaachana kama wanavyo jaribu kuonesha!
Hizi ndizo wanazo zitumia timu ya Diamond na Wema kufanya biashara na Hakika hufanikiwa kabisa!
Nina uhakika Soon Diamond atatoa wimbo na baada ya siku chache itasemekana wamerudiana ili waendelee kupiga!
Hawa hawawezi kuachana na bila shaka Diamond hawezi kufanya biashara vizuri bila Wema hata yeye anajua.....na ukweli ni kwamba Wema ana nguvu kubwa kwenye biashara ya Diamond na ambaye aweshawai kuhudhuria show ya Diamond akiwa na Wema atakuwa shahidi!
Hii ni njia ya kuteka akili za wabongo ili kufanya biashara na katika hii timu ya Diamond naipongeza kabisa! Kama gari ndio chanzo basi Wema na Diamond wange achana kabla ya birthday part ya Diamond!
Huu ni mchezo tuu..
Tulichambwa mie na Dinazarde mama ubaya alivyopewa magar mawili, kipindi hicho nimepewa ban roho iliniumaje?? Manina zao leo kiko wapi mbwa koko team mavi wapo kimya wanaona aibu, dah apa nimefurahi sana
Hivi warumi mara kesho tuone wema & diamond wamepost picha IG mabusu ya hatareeee tutafanyaje?hahahaaaa tutachambwa hadi tuhame JF kwa mda
Hebu usiseme hivyo maana tutakoma itabidi tuhamie jukwaa la siasa
Wala sio njia ya biashara kama unavyotaka kutuaminisha, ata ungekuwa wewe, demu wako apewe gari la thaman na kupelekwa china na dubai we ukae kimya tu? That was too much binamu
Unanikumbusha mbaliii eeee hhhhhaaaaaa
Hebu usiseme hivyo maana tutakoma itabidi tuhamie jukwaa la siasa