Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndio maana nilikaa kimya tu sikutaka tuvuane nguo....
Hhhhhhhaaaaa duuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nilikaa kimya tu sikutaka tuvuane nguo....
Movie ilikuwa tamuu, nilitaman kumuomba mtu anifungulie account nichambane nae vzur, ilikuwa shidaaa
Yule mwanamke pale alipo hajitambui hata ukimuweka ndani hesabu kuugua presha.Mwanamke gani hana staha mbele za watu mjuaji yeye,mzuri yeye,mropokaji yeye,bingwa wa vigodoro,mama wa makiss aaargggghhhh!!!!
Mi ile id yangu ya Gossipcopwarumi boko haramu washaiteka, sina hamu yan apa nikipigwa ban ndo bas
Kuchanganyikiwa mchezo, utashangaa umenikuta jukwaa la UDAKTARI chezeya vichambo, mpaka watu wanaji quote wenyew aaaaahhhhj
Na vya kurithi vinazidi shoga wee! kwanza ngoja hebu mwaga huo mchele wa uchafu wake leo siku ya wakereketwa wa timu makimba kimba zao umwage tushereheke zaidi.
Kuchanganyikiwa mchezo, utashangaa umenikuta jukwaa la UDAKTARI chezeya vichambo, mpaka watu wanaji quote wenyew aaaaahhhhj
Kumbe ndo janja zako hizi?
Hhhhhaaa,hua sisahau kuna siku ulijiqoute na ukajichamba mwenyewee
Nami kuna siku nilijiquote nikajichamba hhhhhaaa unachamba hadi unajisahauu
Sio sticky tu na wewe wakupe "ban holiday " kwa lolote utakalosema yaani usamehewe tu tusije kosa muendelezo wa episodes!Ma mods please jaman weken huu uzi uwe sticked ili kila atakayeingia hauone kwa kweli, hii ni habare njema
Ntarudi kusoma majibizano...ngoja waje
Hhhhhaaa,hua sisahau kuna siku ulijiqoute na ukajichamba mwenyewee
Nami kuna siku nilijiquote nikajichamba hhhhhaaa unachamba hadi unajisahauu
Uwiiiii kweli nyie hatari,kumbe na wewe yalishakukuta eeh
Na atakoma, huyo mkongo akimuacha atajifanya kurud kwa ndomo, ndomo akikubal tunamwagia tindikali
Huyo mama diamond anaonaje aibu sasa iv? Maana alikuwa anajishaua wema ndo mkwewe kiko wapi, toto lake lenyew bahil tupa kuleeee
Na vya kurithi vinazidi shoga wee! kwanza ngoja hebu mwaga huo mchele wa uchafu wake leo siku ya wakereketwa wa timu makimba kimba zao umwage tushereheke zaidi.
Mwenzangu hilo nalo neno, atumwagie hayo mauchafu yake, maana mie presha ishanipanda apa ninavyopenda umbea