Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Nakumbuka sana,ukatuacha mimi na Dinazarde nae pia akala ban ya siku moja....show ikaendelea mimi na miss Strong nae akala ban...uwiiii ilikua sheeedah hadi nikabaki na lethargy tuu

Na mimi nilipewa ban binamu, yan ilikuwa ni mtafutano humu, sasa ivi wamejificha wanaona aibu maana walivyokuwa na visebengo hadi wengine wakashona na sare za harus, kwi kwi!!!! Aaaaaaaah aaah nimefurahi sanaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ni uhakika hawa watu hawajaachana kama wanavyo jaribu kuonesha!

Hizi ndizo wanazo zitumia timu ya Diamond na Wema kufanya biashara na Hakika hufanikiwa kabisa!

Nina uhakika Soon Diamond atatoa wimbo na baada ya siku chache itasemekana wamerudiana ili waendelee kupiga!

Hawa hawawezi kuachana na bila shaka Diamond hawezi kufanya biashara vizuri bila Wema hata yeye anajua.....na ukweli ni kwamba Wema ana nguvu kubwa kwenye biashara ya Diamond na ambaye aweshawai kuhudhuria show ya Diamond akiwa na Wema atakuwa shahidi!

Hii ni njia ya kuteka akili za wabongo ili kufanya biashara na katika hii timu ya Diamond naipongeza kabisa! Kama gari ndio chanzo basi Wema na Diamond wange achana kabla ya birthday part ya Diamond!

Huu ni mchezo tuu..

Wala sio njia ya biashara kama unavyotaka kutuaminisha, ata ungekuwa wewe, demu wako apewe gari la thaman na kupelekwa china na dubai we ukae kimya tu? That was too much binamu
 
Tulichambwa mie na Dinazarde mama ubaya alivyopewa magar mawili, kipindi hicho nimepewa ban roho iliniumaje?? Manina zao leo kiko wapi mbwa koko team mavi wapo kimya wanaona aibu, dah apa nimefurahi sana

Hahahahahaa!kaazi kweli kweli jaman ndoa uwanja wa taifa my foot.
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahaa laiti ungejua hii picha kabla haijafunguka nilikua na hali gani ungecheka balaaa

Wapi mtaa wa pili?? Kwi kwi watu wanataka pesaaaa tupa kuleeee
 
Hivi warumi mara kesho tuone wema & diamond wamepost picha IG mabusu ya hatareeee tutafanyaje?hahahaaaa tutachambwa hadi tuhame JF kwa mda

Hebu usiseme hivyo maana tutakoma itabidi tuhamie jukwaa la siasa
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiiiiiii jamaniii Heaven ataumiajee anaipenda hii couple mpaka basii
Mi nimefurah waachanee tuuu halaf wakirudiana safari hii warumi tuwaendee kwa mganga tuwarushie vipande haiwezekani watuaibisheeeeee mfyuuuu
 
Last edited by a moderator:
Wala sio njia ya biashara kama unavyotaka kutuaminisha, ata ungekuwa wewe, demu wako apewe gari la thaman na kupelekwa china na dubai we ukae kimya tu? That was too much binamu

Wala siwaamishi bali Mimi ndivyo ninavyo amini! Lakini muda huongea ...

Naomba niwe wa mwisho kuamini kuwa Diamond na Wema wameachana ...hii nayo ni project ...time will telll
 
Back
Top Bottom