Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini

Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo wa bunge ili kushuhudia Baba Levo akila kiapo, wengine wakiwa ni Mke wa Baba Levo pamoja na mtoto wake


Your browser is not able to display this video.
 
Aiseeeee, hii nchi imevamiwa kwa kweli, namana huko bungeni ataacha kutama maWOWOWO kweli!
 
kwahiyo jamaa yeye ndio ameguka kuwa chawa sasa ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…