Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
We jamaa bana daahHalafu huko Marekani nani anaijua Tandale,hawa watu wa matangazo buure kabsa,hatawabeba boksi nao hawatapata waache box wamfuate domo?kwa kipi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa bana daahHalafu huko Marekani nani anaijua Tandale,hawa watu wa matangazo buure kabsa,hatawabeba boksi nao hawatapata waache box wamfuate domo?kwa kipi zaidi
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Vingunguti ndanindani kuna kamtaa kanaitwa Boston, Diamond atakua Boston ya USA sio ya Vingunguti acha kuota
Haya ndoto yako imeisha amkaa..Dogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
Atapata hela au hatapata?Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Mnatia kichefu chefu aisee!Halafu huko Marekani nani anaijua Tandale,hawa watu wa matangazo buure kabsa,hatawabeba boksi nao hawatapata waache box wamfuate domo?kwa kipi zaidi
Kwanini ulitaka iwe Wazungu; tena Wazungu wa "maana"?Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria...
Hata mimi nashangaa ndio kuchafua gani huko! Hayo makaratasi mtu yoyote anaweza ku-print. Lakini kwa sababu wabongo ni washamba huwa wanakubali kuwa kweli anaweza kuwa maarufu USA. Kwanza mabango ya wanamuziki ''wanaoichafua'' USA huwa yanawekuwa ya kilalahoi namna hii? Hapo bwana anawapataga wale wabeba box wachovu wa kiafrika tena wengi East AfricA ambao hawamudu kuingia viwanja vya ukweli.Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
POVUHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Siyo povu ni Kweliii NA WATU ni Kama mia Mbili Hivi so nothing done kwenye show zake kumejaa WATU WA Ea wanaoishi marekani OVAPOVU
Mia Mbili sio kweli, Huo utafiti umeutoa wap sijui.. weka pichaSiyo povu ni Kweliii NA WATU ni Kama mia Mbili Hivi so nothing done kwenye show zake kumejaa WATU WA Ea wanaoishi marekani OVA
much know! hamkosekani, kwani ayo majimbo yapo nchi gani?Kauli uliyotumia sio. America ni kubwa mno. Jimbo moja ni sawa nchi moja.
So unaposema.diamond kaikamata america unakosea sana.
Fungua thread yake hiiHaya buana,hivi kiba anafanya show za wap now?
Haionekani vizuri HIYO ni Columbus OhioMia Mbili sio kweli, Huo utafiti umeutoa wap sijui.. weka picha