Diamond Aichafua Marekani

Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi

Tena we umeongea ukweli ila huko Tanzania watawadanganya wabongo na walivyo wajinga wataamini kuwa Diamond katia fora Marekani kumbe kapiga kwenye kaukumbi ka shule tu na ni wabeba mabox chini ya 200 ndiyo watakaoudhuria. Ngoja ifike hiyo Jumamosi, utasikia uwongo mwiiiiiingi when there's no truth at all.
 
Vingunguti ndanindani kuna kamtaa kanaitwa Boston, Diamond atakua Boston ya USA sio ya Vingunguti acha kuota

Dogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
 
Asije akaleta mambo aliyosema NINJA kwa wabongo walioko huko, sisi huku tulishamzoea!!!!
 
Dogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
Haya ndoto yako imeisha amkaa..
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Atapata hela au hatapata?
 
Halafu huko Marekani nani anaijua Tandale,hawa watu wa matangazo buure kabsa,hatawabeba boksi nao hawatapata waache box wamfuate domo?kwa kipi zaidi
Mnatia kichefu chefu aisee!
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Hata mimi nashangaa ndio kuchafua gani huko! Hayo makaratasi mtu yoyote anaweza ku-print. Lakini kwa sababu wabongo ni washamba huwa wanakubali kuwa kweli anaweza kuwa maarufu USA. Kwanza mabango ya wanamuziki ''wanaoichafua'' USA huwa yanawekuwa ya kilalahoi namna hii? Hapo bwana anawapataga wale wabeba box wachovu wa kiafrika tena wengi East AfricA ambao hawamudu kuingia viwanja vya ukweli.
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
POVU
 
nimekuja mbio nimejua kajinyea ughaibuni kumbe miyeyusho tu
 
Ni wakati wetu diaspora tukatoe stress sasa mana sio kwa Kubeba box huku, Angalau tukajazane kwenye kau ukumbi tupate walau whisky akili ikae poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…