Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi walimuomba mzee wa Komasava akapige show, unajua alichowajibu.
Aliwaambia anawaheshimu sana na anampenda sana manara ndio maana amemefuata jangwani lkn ukweli hawana hela ya kumlipa, wakamuuliza tukulipe sh ngap, akawaambia thaman yake show moja ni sawa na mapato yote ya mchezo wao vs Red arrows.Injinia akimshukuru akamwambian atamtafuta.
Hadi leo wamepoteana wakaona bora warudi kwa mla ngada wa kusini ambaye hana mvuto wowote, njia pkee iliyobakia kwao ni kuahidi supu tu