Diamond aihenyesha dunia inatetemeka pande zote ushaidi huu pichani

Huyu mleta uzi hivi anaijua dunia kweli,hebu aende afghanistan au urusi au iceland akataje hilo jina aone watamjibu nini halafu arudi hapa atuambie kama kweli dunia anaijua au la
ukute safari zake zoote kaishia buguruni kwingine anaambulia kuona kwa TV.
 
Huyu mleta uzi hivi anaijua dunia kweli,hebu aende afghanistan au urusi au iceland akataje hilo jina aone watamjibu nini halafu arudi hapa atuambie kama kweli dunia anaijua au la
Mkuu kuna watu itakuwa wanaugua ugonjwa wa Diamond, kuna popoma mmoja kwenye uzi flani hivi alidai eti utajiri wa Diamond unaweza kununu nyumba zote za jijini Dar
 
vumilia matusi kutoka upande wa pili
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono uandishi wa namana hii "
Diamond aihenyesha dunia inatetemeka pande zote ushaidi huu pichani
"???. NI BORA KICHA KICHAA KULIKO KICHA ANAYEJIONA MZIMA!!!
 
Mkuu kuna watu itakuwa wanaugua ugonjwa wa Diamond, kuna popoma mmoja kwenye uzi flani hivi alidai eti utajiri wa Diamond unaweza kununu nyumba zote za jijini Dar

Hata nyumba za tandale uswazi hawezi kununua

Kwa mtetemeko uleee?
huo mtetemeko uliuona peke yako?
mbona jamaa alipiga show nzuri tu kuliko hata huyo wizkid anayesifiwa humu kinafki! mpeni tu haki yake jamaa,kwenye steji jamaa anafanya poa sn kwa afrika ukiachilia mbali kweny ukali wa mashairi.
 
Kuitaja MTV MAMA nikutukumbusha machungu watanzania kukosa tunzo hata moja hatukupata wakati tulikuwa na nominees kibao.
 
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono uandishi wa namana hii "
Diamond aihenyesha dunia inatetemeka pande zote ushaidi huu pichani
"???. NI BORA KICHA KICHAA KULIKO KICHA ANAYEJIONA MZIMA!!!
hapana mkuu ni kumuelekeza namna nzuri ya kuandika ila sio kumtukana
 
Punda wa ile familia ya kigogo anayejichekesha
 
Tatizo alikuwepo mtu wa nuksi ndio maana hakupata tuzo
 
huo mtetemeko uliuona peke yako?
mbona jamaa alipiga show nzuri tu kuliko hata huyo wizkid anayesifiwa humu kinafki! mpeni tu haki yake jamaa,kwenye steji jamaa anafanya poa sn kwa afrika ukiachilia mbali kweny ukali wa mashairi.
Hao team kariakoo majungu ndio kwao,boss wao yupo kimya kwa vile wote wamekosa,angepata watandale ungemsikia na sababu zake za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…