Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
ukute safari zake zoote kaishia buguruni kwingine anaambulia kuona kwa TV.Huyu mleta uzi hivi anaijua dunia kweli,hebu aende afghanistan au urusi au iceland akataje hilo jina aone watamjibu nini halafu arudi hapa atuambie kama kweli dunia anaijua au la