onlinenauza
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie nauliHuyu mleta uzi hivi anaijua dunia kweli,hebu aende afghanistan au urusi au iceland akataje hilo jina aone watamjibu nini halafu arudi hapa atuambie kama kweli dunia anaijua au la
Afrika haipo Duniani?Dunia ipi kijana? Mana hapo naona sceenshot za MTV Africa na BET Africa so kuna link gani na Dunia kutetemeka?
Mziki ni biashara na biashara halali hufanywa kwenye hadhara, vilivyo vya siri huvifanya ambapo mimi na wewe hatuvifahamu ila tnavyoviona akivifanya hadharani tambua ni biasharaHongera Diamond na wanamuziki wote.Ila watuhhawana kazi nyingine jamani.Kama mgempigia kura namna hii angeshinda hakika.Na wewe Dai mimi kama dada yako siyo kila kitu uwwke kwa mitandao uwe na faragha basi.Kwetu uchagani watoto wakiume uwa awafanyi hivo.Ni ushauri tu