Diamond aimbe nini tena....?!!

Diamond aimbe nini tena....?!!

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
1.Amesharap........... ...Fresh Rmx
2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe
3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi
4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi
5. Ameimba Afro Pop......... fire fire na nyingine nyingi
6. Ameimba mchiriku......... Mdogo Mdogo
7. Ameimba Singeli................ Moto
8. Ameimba Pop...................... African Beauty na nyingine nyingi
9. Ameimba Bolingo.......... Inama, Yope

Honestly, katika historia ya Muziki wa Tz hakuna wa kumfikia Diamond in terms of versality, ameshaimba mahadhi mengi sana ya nyimbo na kote huko ametoa hit songs kitu ambacho hakuna aliyejaribu kujaribu achilia mbali kufanikiwa.

Tukatae tukubali, kumchukia Diamond ni kuuchukia wakati, huu ni wakati wake, kitakachomtoa nambari moja ni pale wakati wake utakapoisha.

Miaka ya 2010’s , tutaikumbuka kama miaka ya Diamond Platnumz, kama vile tukizungumzia 1960’s tunavyowakumbuka The Beatles kwenye Muziki au 1980’s na MJ...
 
Hiko ndicho kinachonifanya nimpende huyu jamaa anauwezo wakufanya mziki katika style yoyote na ikabamba kiufupi huwezi kumzoea ndo maana amemaintain peak yake.
 
1.Amesharap........... ...Fresh Rmx
2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe
3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi
4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi
5. Ameimba Afro Pop......... fire fire na nyingine nyingi
6. Ameimba mchiriku......... Mdogo Mdogo
7. Ameimba Singeli................ Moto
8. Ameimba Pop...................... African Beauty na nyingine nyingi
9. Ameimba Bolingo.......... Inama, Yope

Honestly, katika historia ya Muziki wa Tz hakuna wa kumfikia Diamond in terms of versality, ameshaimba mahadhi mengi sana ya nyimbo na kote huko ametoa hit songs kitu ambacho hakuna aliyejaribu kujaribu achilia mbali kufanikiwa.

Tukatae tukubali, kumchukia Diamond ni kuuchukia wakati, huu ni wakati wake, kitakachomtoa nambari moja ni pale wakati wake utakapoisha.

Miaka ya 2010’s , tutaikumbuka kama miaka ya Diamond Platnumz, kama vile tukizungumzia 1960’s tunavyowakumbuka The Beatles kwenye Muziki au 1980’s na MJ...
Hajaimba
1. Sokous
2. Country music
3. Reggae
4. Rhumba
5. Gospel songs na Qaswida
 
Back
Top Bottom