Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kuna taarifa zimezagaa hapa mjini ifakara kuwa mwanamziki Diamond ameachwa solemba kwenye hotel aliyofikia ya Mbega Motel iliyopo hapo kibaoni. Taarifa zinatonya walikuwa na makubaliano na ccm afanye show leo kwenye uwanja wa taifa kama ccm wangetangazwa washindi kwenye uchaguzi wa udiwani wa jana. Ikumbukwe diamond alifika hapa j'mosi iliyopita akiongozana na Samwel Sitta na Mama Lwakaare(mchungaji). Mbunge wa k'mbero PDG Mteketa kashasepa pa1 na viongozi wa ngazi ya mkoa na kumwacha diamond solemba.