wewe nae? hivi wasanii wa bongo flava sasa ni diamond na kiba tu? Una homa ya kiba wewe si bure, na haina matibabu zaidi ya kumkubali.
tuzo za kununuaaaaaaaaaa
Dangota anatisha saana...
Wachawi wakiona hivi usingizi usiku hata hawapati
KABLA YA KUSHINDA
utasikia hatakuja kupata tuzo tena, tunavote kwa davido na wizkid
AKISHINDA
Utasikia za kununua, àu uchawi
HAHAHAHAHAHAH KAMA NAWAONA PINI INAVOWAINGIA YANI NI KUWANYOOSHA TU NA KUWAACHA NA CALCULATOR WAWE WANAZIHESABU
Oyoooooooooooooooooooooo
WAZEE WA HATUPIGI KURA VIPI???
wanapumulia mashine na ndumba zao
Kumbuka hizi TUZO ZINAFANYA JUMLA YA TUZO ALIZONAZO ZA KIMATAIFA KUWA 15 NA ZA HESHIMA 2 UKIONGEZA NA ZILE ZA HAPA HAPA 16= 33 je huyo kiba wako unawezaje kumlinganisha na DIAMOND????????????????tuzo za kununuaaaaaaaaaa
Huyo ndiyo DIAMOND, yeye anafanya vitendo sio tu unajisifu na uwezo wa kufanya hauna eti ooh "kuanzia sasa sipigi playback ni mwendo wa live tu" haya kiko wapi ???? unavimbishwa kichwa na ma ex wa DIAMOND basi umejiona bonge la msanii kama ungekuwa msanii wa maana si huo ubora wako ungeanza tokea miaka ileeeee uliyoanza muziki wako usiovutia eti ooh king, king gani anaishi kwa mama????????????. DIAMOND KIMBIZA KWA VITENDO WAENDELEE KUONA AIBU.
umeongea pumba tupu ww.domo hana wimbo wa kumtoa hata msanii chipukizi.hafai.kwa kiba mtoto sana kimziki.huu ndo wakati wa kiba wakati huo wa BEFTA hamna msanii alieweza kufanya hivo.na bado.domo anaimba nyimbo za kitoto sana.
Huyo ndiyo DIAMOND, yeye anafanya vitendo sio tu unajisifu na uwezo wa kufanya hauna eti ooh "kuanzia sasa sipigi playback ni mwendo wa live tu" haya kiko wapi ???? unavimbishwa kichwa na ma ex wa DIAMOND basi umejiona bonge la msanii kama ungekuwa msanii wa maana si huo ubora wako ungeanza tokea miaka ileeeee uliyoanza muziki wako usiovutia eti ooh king, king gani anaishi kwa mama????????????. DIAMOND KIMBIZA KWA VITENDO WAENDELEE KUONA AIBU.
unaweweseka mkuu jikaze tutuzo za kununuaaaaaaaaaa