Diamond aitikisa tena dunia kudadadeki, avuna tuzo za kutosha AFRICAN NAFCA

fm radio

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
81
Reaction score
36
mbongo fleva mondebinladen aka platnumz ametusua tena baada ya kuvuna tuzo ambazo kiba ataishia kuzisikia tu radioni.monde ameshinda tuzo ya msanii wa mwaka anaependwa zaidi na wimbo bora wa mwaka wa "nana".source:bongo5
 
wewe nae? hivi wasanii wa bongo flava sasa ni diamond na kiba tu? Una homa ya kiba wewe si bure, na haina matibabu zaidi ya kumkubali.
 
Dangota anatisha saana...

Wachawi wakiona hivi usingizi usiku hata hawapati

KABLA YA KUSHINDA
utasikia hatakuja kupata tuzo tena, tunavote kwa davido na wizkid

AKISHINDA
Utasikia za kununua, àu uchawi

HAHAHAHAHAHAH KAMA NAWAONA PINI INAVOWAINGIA YANI NI KUWANYOOSHA TU NA KUWAACHA NA CALCULATOR WAWE WANAZIHESABU
 
Oyoooooooooooooooooooooo

WAZEE WA HATUPIGI KURA VIPI???
 
Dangota anatisha saana...

Wachawi wakiona hivi usingizi usiku hata hawapati

KABLA YA KUSHINDA
utasikia hatakuja kupata tuzo tena, tunavote kwa davido na wizkid

AKISHINDA
Utasikia za kununua, àu uchawi

HAHAHAHAHAHAH KAMA NAWAONA PINI INAVOWAINGIA YANI NI KUWANYOOSHA TU NA KUWAACHA NA CALCULATOR WAWE WANAZIHESABU

wanapumulia mashine na ndumba zao
 
Huyo ndiyo DIAMOND, yeye anafanya vitendo sio tu unajisifu na uwezo wa kufanya hauna eti ooh "kuanzia sasa sipigi playback ni mwendo wa live tu" haya kiko wapi ???? unavimbishwa kichwa na ma ex wa DIAMOND basi umejiona bonge la msanii kama ungekuwa msanii wa maana si huo ubora wako ungeanza tokea miaka ileeeee uliyoanza muziki wako usiovutia eti ooh king, king gani anaishi kwa mama????????????. DIAMOND KIMBIZA KWA VITENDO WAENDELEE KUONA AIBU.
 
tuzo za kununuaaaaaaaaaa
Kumbuka hizi TUZO ZINAFANYA JUMLA YA TUZO ALIZONAZO ZA KIMATAIFA KUWA 15 NA ZA HESHIMA 2 UKIONGEZA NA ZILE ZA HAPA HAPA 16= 33 je huyo kiba wako unawezaje kumlinganisha na DIAMOND????????????????
 
Huyo ndiyo DIAMOND, yeye anafanya vitendo sio tu unajisifu na uwezo wa kufanya hauna eti ooh "kuanzia sasa sipigi playback ni mwendo wa live tu" haya kiko wapi ???? unavimbishwa kichwa na ma ex wa DIAMOND basi umejiona bonge la msanii kama ungekuwa msanii wa maana si huo ubora wako ungeanza tokea miaka ileeeee uliyoanza muziki wako usiovutia eti ooh king, king gani anaishi kwa mama????????????. DIAMOND KIMBIZA KWA VITENDO WAENDELEE KUONA AIBU.

umeongea pumba tupu ww.domo hana wimbo wa kumtoa hata msanii chipukizi.hafai.kwa kiba mtoto sana kimziki.huu ndo wakati wa kiba wakati huo wa BEFTA hamna msanii alieweza kufanya hivo.na bado.domo anaimba nyimbo za kitoto sana.
 
Kwahiyo wadau wa mziki waliomfanya diamond kuwa namba moja na mituzo kibaooo kuwa mwanamuziki wa thamani zaidi Afrika mashariki, Hao Mtv BET wooote wanamuona ambao hajui afumaskini kibakuli haonekani hahahahahhaah kivip inakuwa hivyooo??

Yani wewe na wananchi wa kawaida wenzako ndio mnaona diamond wa kufananishwa na msanij ambae hayupo kabisa kwenye ramani ya mziki mzuri..

Sia ajabu kwasababu chizi hata umpe almasi anaona kma jiwe...

KAMA UNACHUKIA VAA MIWANI USIONE GERE, WASAFI HATUNA GERE YOU JUST DONT GET IT MEEEEEEEEN SHIT!!!
 
Oyooooooooo endelea kuwakimbiza wazembewazembe hao We ndio king of afropop haijawahi kutokea diamond platnumz aka Mondi bin laden mzee wa kuwanyoosh

Leo watu wamenywea sana hahaha cute b miss you le mbebez
 
Last edited by a moderator:
Kumchukia domo ni kama kuichukia Barcelona....unaumia moyo tu..aaaagh!!
 
Huyo ndiyo DIAMOND, yeye anafanya vitendo sio tu unajisifu na uwezo wa kufanya hauna eti ooh "kuanzia sasa sipigi playback ni mwendo wa live tu" haya kiko wapi ???? unavimbishwa kichwa na ma ex wa DIAMOND basi umejiona bonge la msanii kama ungekuwa msanii wa maana si huo ubora wako ungeanza tokea miaka ileeeee uliyoanza muziki wako usiovutia eti ooh king, king gani anaishi kwa mama????????????. DIAMOND KIMBIZA KWA VITENDO WAENDELEE KUONA AIBU.

wapi wema na ubunge wa viti maalum
 
Back
Top Bottom