imamuAbasi
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 204
- 43
wamesandaaaaa mjomba mondi ni kama maji usipo kunywa basi utaogaOyoooooooooooooooooooooo
WAZEE WA HATUPIGI KURA VIPI???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamesandaaaaa mjomba mondi ni kama maji usipo kunywa basi utaogaOyoooooooooooooooooooooo
WAZEE WA HATUPIGI KURA VIPI???
tuzo za kununuaaaaaaaaaa
Sasa tuzo za kununua mnadani ndio mnatuletea hapa, tuzo hata hazieleweki kuwa zilianza hata mchakato wa kupiga kura hueleweki.
Hizi tuzo ni hela yako tu, ukipanda bei jamaa wanakutumia tu kwa njia ya MTN au posta alafu unaanza kupost insta hahaha, kweli kufulia kubaya.
Mumeshanyooshwa nyinyi iliyobaki mujifariji tu maana hakuna namna tena, huyo kibatali hamfikii DIAMOND kwa lolote si kwa fedha,si kwa shoo,si kwa tuzo, si kwa matangazo, si kwa kupendwa na mashabiki(ushahidi page zao za mitandao),sikwa kuuza t shirt n..k . NGOJA NIKUPE KANUNI ZA HAWA WASANII ANGALIA ANAYEPEWA DILI ZA SHOO NYINGI NA ANALIPWA PESA NYINGI NDIYE ANAYEFANYA VIZURI SIO KELELE ZENU ZA KWENYE MITANDAO MUTAISHIA KUMUONGOPEA TU HUYO KIBATALI WENU KUWA ANAPENDWA KUMBE HAMNA KITU.umeongea pumba tupu ww.domo hana wimbo wa kumtoa hata msanii chipukizi.hafai.kwa kiba mtoto sana kimziki.huu ndo wakati wa kiba wakati huo wa BEFTA hamna msanii alieweza kufanya hivo.na bado.domo anaimba nyimbo za kitoto sana.
Ndo Nani uyo
mbongo fleva mondebinladen aka platnumz ametusua tena baada ya kuvuna tuzo ambazo kiba ataishia kuzisikia tu radioni.monde ameshinda tuzo ya msanii wa mwaka anaependwa zaidi na wimbo bora wa mwaka wa "nana".source:bongo5