Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Weka na picha basi tuishuhudie hiyo nyomi maana nyomi za USA tunazionaga sana
 
Habari ili iwe habari jukwaani
1.kichwa cha habari
2.hoja husika
3.picha ya kusukuma hoja

Letaaa pichaaa
 
Bila Picha wala hoja yako haina mashiko!
 
Si uweke picha bana, hii maneno fake fake haitakiwi, halafu nasikia perfume ya dogo ukujipulizia mpaka nyuki wanakufuata!!!!
 
Si uweke picha bana, hii maneno fake fake haitakiwi, halafu nasikia perfume ya dogo ukujipulizia mpaka nyuki wanakufuata!!!!
Picha za SHOW zitafuata muda si mrefu,kwanza angalia hii clip kisha otea hiyo shoo ilikuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…