unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Ni sawa na kusifia msanii mmoja kujaza watu tamasha la fiesta. Kiki za kipuuzi kabisa.Diamond ameweka historia ya kuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kujaza uwanja wa Golf uliopo kwenye mji wa kitalii wa livingdtone Zambia
View attachment 503051View attachment 503052View attachment 503053
Diamond pia atatumbuiza kwenye mji mkuu wa Lusaka baadae mwaka huu